Watanzania mmerogwa na nani? Badala ya kujadili hoja za Kamati ya Maadili ya Bunge nyie mnamjadili Spika Ndugai na Yesu

Cha ajabu watanzania hawa wameachana kabisa na hoja za kamati na badala yake wamemshupalia Spika Ndugai.
Ndiyo kawaida ya Watanzania kuacha mambo ya msingi na kujikita kwenye kujadili petty issues.

Kuna mengi sana ya muhimu ya kujadiliwa, lakini Watz wako busy na video ya mama J, na sasa wamehamia kwenye kauli ya Ndugai kuhusu Yesu.

Huu ni udhaifu wa Watanzania na ndiyo mtaji wa Serikali ya CCM. Kwa akili hizi za Watz, CCM itatawala mpaka siku atakaporudi Messiah.
 
Kuna moja aliijita kiongozi wa malaika, kiongozi wa malaika akamshughulikia
Tusubiri Ndugai nae ashughulikiwe
 
Mkuu mbona wao waliacha kujadili makosa ya mashahidi wao wakaanza kuwashambulia kwa personal issues? Wacha nayeye ajadiliwe alikuwa na sababu gani ya kusema hayo?
 
Kamati ya maadili inakusaidia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…