Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 15,416 Reaction score 22,334 Jul 30, 2024 #21 mbarika said: Pole Kunywa sumu umfuate mwenda zake fisadi mwenzako Click to expand... KAZI NI MOJA TU KUPAMBANA NA RAIA FEKI NA WAHUNI WALIO SHIKA SERIKALI NA KUIGEUZA MALIYAO BINAFSI .
mbarika said: Pole Kunywa sumu umfuate mwenda zake fisadi mwenzako Click to expand... KAZI NI MOJA TU KUPAMBANA NA RAIA FEKI NA WAHUNI WALIO SHIKA SERIKALI NA KUIGEUZA MALIYAO BINAFSI .
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Jul 30, 2024 #22 The Mongolian Savage said: Mkuu Imhotep nakumbukaga longtime ulikuwaga na avatar picha ya Nape kwenye ID yako. Irudishe asee. Click to expand... Wakati huo nilikuwa Mwanachama wa CCM kabla ya kuhamia CHADEMA. Nape aje CHADEMA tupige Spana.
The Mongolian Savage said: Mkuu Imhotep nakumbukaga longtime ulikuwaga na avatar picha ya Nape kwenye ID yako. Irudishe asee. Click to expand... Wakati huo nilikuwa Mwanachama wa CCM kabla ya kuhamia CHADEMA. Nape aje CHADEMA tupige Spana.