Watanzania mpunguze kushobokea demokrasia ya Kenya

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Wale wanaosifia na wale wanaoponda, Tafadhalini, kwa roho safi, si kwa ubaya, punguzeni kujaza server za jf na mada nyingi za siasa/demokrasia.... Kwa kimombo...'The jury is still out there'

Kama jaji mkuu maraga alivyosema akitoa hukumu yake, "Election is not an even, it is a process"

Msemo hio huo pia hua unatumika kwa demokrasia, 'Demokracy is not an one time act/event, democracy is a continuos process'

Yale yaliyofanywa na supreme court juzi ni process ilioanza kitambo sana, enzi za moi kule watu wakitafuta multiparty democracy......

One event where supreme court ruled the way it did does not suddenly whitewash everything that still needs to be fixed.

Kama Kenya, tumepiga hatua kweli lakini haimaanishi tumefika. Bado kuna marekebisho kabambe tunafaa kufanya ili tuwe demokrasia ya kikweli.. Katiba yetu ni nzuri lakini bado tunafaa tuhakikishe imefanywa testing to the limit...

USA ina miaka zaidi ya 200 ya democracy,lakini means huu tumeona bwana trump anabomoa the 'biggest democracy' vile atakavyo, vyombo vya habari vimetupiliwa mbali, Amefuta FBI director kwa kumchunguza Trump kwa madai ya kwamba Russia ilimsaidia Trump kuhack server za hillary na kushawishi wapigaji kura... Yani baada ya miaka 200! Bado katiba yao inaeza bomolewa na mtu mmoja tu, Trump amefuta wakuu wa justice department wote waliotetea haki za refujees wanaoingia USA...

Hivyo basi ikabidi tukubali kua democracy is not about leaders following the rule of law because they stand to be seen as democratic... True democracy is when leaders try their best to subvert the constitution but they fail , not because people love democracy but because strong institutions follow the rule of law and no matter who is the president these institutions will dispense their duties according to the law and mandate...

Like barrack obama said in his last interview at the white house when asked about trump reversing his legacy, Obama said, 'Progress never comes in a straight line, it comes in zig zags " you cant measure progress in one event, only through time can you measure progress, There need to be like 2,3 more supreme court rullings by different judges over a eriodq of time b4 we can say their is true separation of powers, this was just the first step
 
USA ina miaka zaidi ya 200 ya democracy,

Mbona Muzungu anajadili yanayoendelea Kenya haulalamiki? acha hizo isitoshe JF ni ya TZ hivyo sidhani kama ni busara kutupangia cha kujadili, kama haupendi usiingie JF ni rahisi kihivyo Tu, lkn ukweli ni kwamba huyo Maraga ni pussy!
 
Soma na uelewe nasema nini kwanza, Sijasema msiongee, nasema mpunguze kwani bado hii ni process na sio event moja, kwahivyo judgements zenu mzulie mioyoni mwenu kwani bado process haijaisha
 
Nasisi tupo naprocess, mchakato wetu lazima inde na jambo husika
 
Angalau watu wangengojea hizo siku 60 tufanye uchaguzi tena mshindi atangazwe na aapishwe alafu ndo watu watoe conclusion zao kama kweli tumepiga hautua au la
 
Operation ziba watu midomo. Acha watu wajadili wanachokitaka hata kama hakina maana kwako.
 
Angalau watu wangengojea hizo siku 60 tufanye uchaguzi tena mshindi atangazwe na aapishwe alafu ndo watu watoe conclusion zao kama kweli tumepiga hautua au la

Matokeo ya nini kitajiri baada ya 60days haina uhusiano na maamuzi ya mahakama.

Sisi tunasifia sana
- uhuru wa mahakama

- Ushindi wa rais kuhojiwa mahakamani unapokuwa tata

- Uhuru kuheshimu mahakama japo hapendi

Haya ndiyo tunayoyajadili.......hatujadili nini kitatokea baada ya 60 days
 
Pia hayo maamuzi ya kesi, its not an event, its a process.

Kwa miaka mitano, wengi wetu tumekua hatuamini kwamba mahakama iko huru, leo hii baada ya kesi moja, 90% wameamua kwamba mahakama ziko huru!! Kwasababu ya kesi moja????

Je kama mahakama hio huru haingepata ushagidi wa kutosha na iamue kuwa Uhuru Kenyatta alipata ushimdi kihalali, bado maoni ya watu yangekua yalivyo sahii??? Bado wale majaji wangekua huru na wamefanya kazi yao bila kushawishiwa, lakini wengi wetu tungesema mahakama si huru.

Mfano mwengine ni. Leo hii Raila ameshinda kesi ameamua kwamba Mahakama imetenda haki kwa mara ya kwanza kabisa kwa historia ya Kenya. Kenyatta nae anasema Mahakama ilifanyiwa mambo (influenced) Kenyatta huyo huyo huyo aliposginda kesi miaka mitano iliopita alisifia mahakama na kumwambia Raila ashimu mahakama zetu, Raila nayalikua anadai makama ni vibaraka vya serekali....
Leo hii Raila akiwa rais, hata taka kuigusa hio mahakama, atasema 'iko huru', Kenyatta naye leo hii akishinda atataka kuiondoa mahakama hio hi akisema 'haiko huru'
 
Sio Watanzaniatu wanazungumzia, nadhani ni Africa nzima, ila kwa Tanzania hayo mazungumzo yapo more pronounced zaidi kwa sababu ni majirani
Hata Nigeria aliyekuwa Rais Goodluck Jonathan aliposhindwa uchaguzi baada ya kipindi kimoja na kuondoka bila resistance yoyote ilikuwa talk of Africa maana ni ajabu sana
 
Hebu fafanu unamaanisha nini Mkuu

Je? Koti ni guru pale 'david anamshinda 'goliath' ama pale sheria inapofwatwa? Manake kulingana na public opinion ninazoziona na kuskia, ni pale david anaposhinda pekes ndo Mahakama inabandikwa jina 'huru'...hii haifai!

Kuna uwezekano Mahakama ili
 
Kwani mkuu nini hakieleweki?

Mahakama kufanya maamuzi makubwa kama hayo huoni ajabu hususani nchi zetu za kiafrika ambako marais huzani madaraka ni mali yao

Hili nikubwa kwetu waafrika haijalishi limekuja vipi nijema sana
 
what i want is these guys to stop their obsesseion with Kenya....why cant you worry abt what is going on in TZ and leave our country alone? btw, hkuna mkenya hata mmoja ambaye huwa anajishugulisha na siasa za TZ kila uchao...lakini nenda tu kwa blogs za rwanda, Uganda, Tanzania etc...they are all talking abt kenya...even in Zimbabwe and nigeria...lol! leave us alone now...
 
Wale wanaosifia na wale wanaoponda, Tafadhalini, kwa roho safi, si kwa ubaya, punguzeni kujaza server za jf na mada nyingi za siasa/demokrasia.... Kwa kimombo...'The jury is still out there'

Kama jaji mkuu maraga alivyosema akitoa hukumu yake, "Election is not an even, it is a process"

Msemo hio huo pia hua unatumika kwa demokrasia, 'Demokracy is not an one time act/event, democracy is a continuos process'

Yale yaliyofanywa na supreme court juzi ni process ilioanza kitambo sana, enzi za moi kule watu wakitafuta multiparty democracy......

One event where supreme court ruled the way it did does not suddenly whitewash everything that still needs to be fixed.

Kama Kenya, tumepiga hatua kweli lakini haimaanishi tumefika. Bado kuna marekebisho kabambe tunafaa kufanya ili tuwe demokrasia ya kikweli.. Katiba yetu ni nzuri lakini bado tunafaa tuhakikishe imefanywa testing to the limit...

USA ina miaka zaidi ya 200 ya democracy,lakini means huu tumeona bwana trump anabomoa the 'biggest democracy' vile atakavyo, vyombo vya habari vimetupiliwa mbali, Amefuta FBI director kwa kumchunguza Trump kwa madai ya kwamba Russia ilimsaidia Trump kuhack server za hillary na kushawishi wapigaji kura... Yani baada ya miaka 200! Bado katiba yao inaeza bomolewa na mtu mmoja tu, Trump amefuta wakuu wa justice department wote waliotetea haki za refujees wanaoingia USA...

Hivyo basi ikabidi tukubali kua democracy is not about leaders following the rule of law because they stand to be seen as democratic... True democracy is when leaders try their best to subvert the constitution but they fail , not because people love democracy but because strong institutions follow the rule of law and no matter who is the president these institutions will dispense their duties according to the law and mandate...

Like barrack obama said in his last interview at the white house when asked about trump reversing his legacy, Obama said, 'Progress never comes in a straight line, it comes in zig zags " you cant measure progress in one event, only through time can you measure progress, There need to be like 2,3 more supreme court rullings by different judges over a eriodq of time b4 we can say their is true separation of powers, this was just the first step
Wakenya punguzeni kushobokea JF na Magufuli.

Msituletee hadithi za "baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Kenya kungekuwa na demokrasia msingeuana mpaka rais akatia aibu kushtakiwa ICC.

Sema jingine.

Sent from my Kimulimuli
 
lets understand them...these countries are so behind such that what happens in EAs most advanced economy they want to hear abt it...tuwaelewe tu...hawa bado wako nyuma sana kwa demokrasia, uchumi, na mambo mengine....ndio maana unawaona wakishobokea kila kitu sasa wamejaza JF na habari za Supreme court ruling...most of them wanafatilia kwa ukaribu TV stations za Knya...i dont even remember the last time I went online to learn anything abt their country and why should I? we are way ahead of them... they cant teach us anything...
 
Kwani mkuu nini hakieleweki?

Mahakama kufanya maamuzi makubwa kama hayo huoni ajabu hususani nchi zetu za kiafrika ambako marais huzani madaraka ni mali yao

Hili nikubwa kwetu waafrika haijalishi limekuja vipi nijema sana
Yes, naelewa ni jambo kubwa halijawai fanyika, lakini pia kwa upande mwengine hatufai kuleheza kamba eti sasa tumefika...
Mahakama imeonuesha iko huru na haina ushawishi wa kutoka kwa executive... Hio ni hatua kubwa sana tumepiga, lakini ili tuseme Mahakama ni huru kabisa lazima tuhakikishe iko huru na hakuna ushawishi kutoka kwa mtu yoyote ikiwepo majaji wenyewe kwa wenyewe....
Je kesii hii hii ikipewa majaj wengine wapya saba, maamixi yatakua vile vile au tofauti manake kulingana na katiba yetu majaj wa supreme court wanafaa kuwa influenced na katiba pekee, kwahivyo hata jaji awe nani bado maamuzi yanafaa yawe yale yale .

wp_ss_20170903_0002.png

Umenielewa sasa, uhuru wa Mahakam si kwa uhusuano baina a judiciary na executive pekee, ni uhuru wa kila kitu
 
Sio Watanzaniatu wanazungumzia, nadhani ni Africa nzima, ila kwa Tanzania hayo mazungumzo yapo more pronounced zaidi kwa sababu ni majirani
Hata Nigeria aliyekuwa Rais Goodluck Jonathan aliposhindwa uchaguzi baada ya kipindi kimoja na kuondoka bila resistance yoyote ilikuwa talk of Africa maana ni ajabu sana
Yaani ulivoeleza kwa ustaarabu na upole hadi naona ni kama mimi binafsi nimekukosea! Bado sijachangia chochote kwenye mada hii ya kushobokea demokrasia lakini acha niseme. Pole sana sistah maneno yao yasikusumbue! Afu nimehama, nimeenda kwenye uzi mwingine. Bye!
 
Back
Top Bottom