Watanzania msidanganyike na Ulaghai wa PFIZER & MODERNA dhidi ya JANSSEN (J&J)

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,603
Reaction score
3,658
Chanzo ya Pfizer-BionTech na ile ya Moderna zimetuia teknolojia ya mRNA (kutumia RNA ya kirusi cha corona kutengeneza chanjo)
Chanjo ya Janssen (J&J) imetumia teknolojia ya kupandikiza RNA ya corona kwenye kirusi cha Adenovirus na kutengeneza chanjo.

Chanjo za Moderna na Pfizer majaribio yao yalifanyika nchi ya Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya... Sample size yake haikuwa kubwa sana na majariio hayo yalifanyika wakati hakuna variants wengi wa corona.
Chanjo ya Janssen (J&J) majaribio yake yamefanyika nchi za Amerika, Ulaya, Asia na Afrika.Mfano: US, UK, BRAZIL, CAMBODIA, INDIA, AFRIKA YA KUSINI, MISRI n.kn.k. Lakini pia chanjo hii SAMPLE SIZE yake ili kuwa kubwa sana kwenye majaribio tofauti na hizo chanjo za Pfizer na Moderna. Pia majaribio ya Janssen yamefanyika wakati dunia ina variants wengi wa corona.
Chanjo za Pfizer na Moderna unatoa dozi mbili.
Chanjo ya Janssen unatoa dozi moja.
Uki expose kwenye Delta variants... Chanjoya Janssen iko stable kuliko hizo za Pfizer na Moderna.Ndiyo maana Pfizer na Moderna zimeanza kutoa booster dose ya chanjo zao kwa wazee miaka 65 na kuendelea.
Kinachoendelea kwa sasa ni kuoneshana ubabe wa nani ni nani kwenye chanjo.
Pfizer and Moderna wanataka ku dorminate vaccine industry ya COVID-19.
MSIDANGANYIKE

RECOMMENDATIONS za WHO za mwezi huu wa DECEMBER, 2021 KUHUSU JANSSEN: Interim recommendations for the use of the Janssen Ad26.COV2.S (COVID-19) vaccine
 
Chanzo ya Pfizer-BionTech na ile ya Moderna zimetuia teknolojia ya mRNA (kutumia RNA ya kirusi cha corona kutengeneza chanjo)
Chanjo ya Janssen (J&J) imetumia teknolojia ya kupandikiza RNA ya corona kwenye kirusi cha Adenovirus na kutengeneza chanjo.

Chanjo za Moderna na Pfizer majaribio yao yalifanyika nchi ya Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya... Sample size yake haikuwa kubwa sana na majariio hayo yalifanyika wakati hakuna variants wengi wa corona.
Chanjo ya Janssen (J&J) majaribio yake yamefanyika nchi za Amerika, Ulaya, Asia na Afrika.Mfano: US, UK, BRAZIL, CAMBODIA, INDIA, AFRIKA YA KUSINI, MISRI n.kn.k. Lakini pia chanjo hii SAMPLE SIZE yake ili kuwa kubwa sana kwenye majaribio tofauti na hizo chanjo za Pfizer na Moderna. Pia majaribio ya Janssen yamefanyika wakati dunia ina variants wengi wa corona.
Chanjo za Pfizer na Moderna unatoa dozi mbili.
Chanjo ya Janssen unatoa dozi moja.
Uki expose kwenye Delta variants... Chanjoya Janssen iko stable kuliko hizo za Pfizer na Moderna.Ndiyo maana Pfizer na Moderna zimeanza kutoa booster dose ya chanjo zao kwa wazee miaka 65 na kuendelea.
Kinachoendelea kwa sasa ni kuoneshana ubabe wa nani ni nani kwenye chanjo.
Pfizer and Moderna wanataka ku dorminate vaccine industry ya COVID-19.
MSIDANGANYIKE
CDC ndio pfizer na moderna?
 
Asante sana mkuu kwa elimu muhimu kwetu sisi
 
Ebu tuambia mtaalamu hayo majaribio ya Chanjo yalitumia miaka mingapi? Au kwa kipindi gani?
 
Unadanganyika wewe maana tayari ni mtumwa wa ccm

Kuna watu sijui huwa mnaona raha kuquote tu watu wengine...

Mkuu hebu mwagia kichwa maji ya baridi kidogo...
 
Asante sana mkuu kwa elimu muhimu kwetu sisi
Kuhusu suala la Chanjo kiongozi, chanjo zote zinafanya kazi sawa, Janssen yeye kuweka dozi moja na kuonekana inafanya kazi vizuri kama hao Pfizer na Moderna wenye dozi mbili, hicho kitu hayo makampuni ya Pfizer na Moderna kimewashtua sana. kwanza acceptability ya sindano moja kwa watu wazima ni kubwa kuliko sindano mbili.
Nina mengi ya kueleza ila ngoja niishie hapa.
SOMA RECOMMENDATIONS za WHO za mwezi huu December kuhusu chanjo ya JANSSEN (J & J) : Interim recommendations for the use of the Janssen Ad26.COV2.S (COVID-19) vaccine
 
Kuhusu suala la Chanjo kiongozi, chanjo zote zinafanya kazi sawa, Janssen yeye kuweka dozi moja na kuonekana inafanya kazi vizuri kama hao Pfizer na Moderna wenye dozi mbili, hicho kitu hayo makampuni ya Pfizer na Moderna imewashtua sana. kwanza acceptability ya sindano moja kwa watu wazima ni kubwa kuliko sindano mbili.
Nina mengi ya kueleza ila ngoja niishie hapa.
SOMA RECOMMENDATIONS za WHO za mwezi huu December kuhusu chanjo ya JANSSEN (J & J) : Interim recommendations for the use of the Janssen Ad26.COV2.S (COVID-19) vaccine
Ubarikiwe sana kiongozi
 
Ebu tuambia mtaalamu hayo majaribio ya Chanjo yalitumia miaka mingapi? Au kwa kipindi gani?
Hv medical research and test inachukua miaka mingapi ili iwe verified and ready Kwa matumizi...anyway nisijifajye mtaalamu Sana wakati nilisoma zinjatropus
 
Ebu tuambia mtaalamu hayo majaribio ya Chanjo yalitumia miaka mingapi? Au kwa kipindi gani?
KWANINI CHANJO MAJARIBIO YAKE HUCHUKUA MUDA MREFU?
Ili mtu atengeneze chanjo mlolongo wake mpaka kukamilika hutegemea vitu vifuatavyo:
1. Wazo kichwani....... LIPO
2. RASILIMALI WATU......IPO
3. TENKOLOJIA.......IPO
4. RASILIMALI FEDHA..... IPO au HAIPO.

Sasa wazo linawekwa mezani, paper inaandikwa, inapitishwa tayari kwa utekelezaji. Kazi inaanza. Kumbuka Kuna PRELIMINARY STAGE, PHASE 1, PHASE 2, PHASE, 3 na Mwishi PHASE 4 tayari kwa matumizi kwa binadamu.
Kila hatua inahitaji fedha nyingi za utekelezaji wake.
Kwahiyokinachofanya chanjo iwahi kutoka au ichelewe ni urahisi au ugumu wa kupata fedha za kuwezesha ufanikishaji wa kila hatua ya majaribio.
COVID-19 ilipoanza kutandika Duniani, jambo zuri ni kuwa ugonjwa huu ulianz akuchakaza vibaya mataifa yote yenye nguvu za kifedha na kiteknolojia. Hakuna kitu mzungu anachokiogopa kama kufa., Ilibidi mataifa makubwa yafungue hazina zao yaweke fedha mezani wanasayansi wafanye majaribio ya chanjo bila kuhangaika kuandika Proposal za kuomba fedha. Ndiyo maana mnaona chanjo hizi za COVID-19 zimeechukua mwaka mmoja tu na zingine mwaka mmoja na nusu tayari zimepatikana.
Factor kubwa ya kuchelewa kukamilika kwa majiribio ya chanjo ni UPATIKANAJI WA FEDHA na SIYO KITU KINGINE
 
Siyo hiyo tu, na ile dawa ya Madagascar iko wapi? Hatujaona mtu yeyote akiitumia au ikisambazwa popote! Lazima tuhoji sababu kodi zetu zilitumika kuifuata
Tuliambiwa anaigawa Rais wa Madagascar tu, ikiwezekana wamualike aje kuigawa😆
 
Back
Top Bottom