Watanzania msilale Jamani!!!

BabaH

Senior Member
Joined
Jan 25, 2008
Posts
104
Reaction score
8
Jamani mimi sielewi
Inakuwaje kweli pamoja na kupiga kote kelele za ufisadi lakini bado watanzania wanaendelea kulala, Ni juzi tu BOT kumepotea pesa kibao ambazo zingewasaidia watanzania
 
Ulikuwa wapi ? Ukipata nafasi ya kuuliza uliza lakini jamaa huwa hayuko makini atacheka na kukueleza kwamba ameagiza kazi ifanyike .Now leo wanapitisha sheria ya kuchunguza na kukamata tu pale pakiwa na ushahidi. Wategemea nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…