LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Ndugu zangu watanzania, hivi ni nani huyo aliewadanganya kwamba kuwa na mawazo ndio ukubwa?. Au kuwaza mambo magumu magumu ndio utu uzima?. Fanyeni mambo yote lakini msisahau kuishi. Kuishi ni nini? Kuishi ni kustarehe. Kuishi ni kufurahi. Furahia maisha yako kwa kadri uwezavyo. Itafute furaha siku zote. Itafute starehe siku zote wakati wote. Iwaze starehe wakati wote muda wote. Ienzi asili yako kwa moyo wako wote, roho yako yote na akili zako zote. Asili yako ni starehe na kustarehe. Acha kuishi kinyume na asili yako utafeli. Ikipatikana kwa sababu babako alikuona mama ako akafanya nae starehe na mwisho wa siku ukazaliwa wewe. Acheni kuwaza mambo magumu magumu yasiyo wapa furaha.
Hata alie tuumba alitaka tustarehe ndio maana akatuumba na nyenzo za kufanyia starehe.
Waiter!!! BRING ME TWO BOTTLES OF WINES AND TWO FEMALES PLEASE.
" Furahini katika Bwana nasema tena Furahini "
Hata alie tuumba alitaka tustarehe ndio maana akatuumba na nyenzo za kufanyia starehe.
Waiter!!! BRING ME TWO BOTTLES OF WINES AND TWO FEMALES PLEASE.
" Furahini katika Bwana nasema tena Furahini "