J McAme
Member
- Apr 22, 2018
- 6
- 1
Habari zenu, ningeomba kushauriwa kuhusu hili.Mimi ni kijajana wa Tanzania niliemalizia masomo yangu ya primary na secondary nchini kenya, kwasasa nataka kujiunga na chuo kikuu kenya illa wasiwasi wangu ni kuwa nitakapo maliza bachelor's degree yangu nitaweza kupata kazi kwenye serekali ya Tanzania?
Ahsanteni Sana.
Ahsanteni Sana.