asante sana.KAMA KUKIWA HAMNA FIGISU UNAPATA MAALA UTAVIPELEKA MAMLAKA HUSIKA NACTE AU TCU KUNA UTHIBITISHO WATAVIFANYIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaa Yaa sure.Mkuu kama huna hakika wasiliana na TCU, kwani utakapo rudi wao ndiyo watakao thibitisha cheti chako. Vyuo siku hizi ni vingi huko Kenya hakikisha unakwenda chuo chenye mashiko na ili usiwe na wasi wasi malizana kabisa na TCU wasije wakakushangaza (si unajua tena mambo ya kwetu).
Hakuna Tatizo, illa kwa nitakacho kisomea mimi kitaninufaisha zaid nchini Tanzania.
Unajiandaa kusoma kozi gani mkuu?Hakuna Tatizo, illa kwa nitakacho kisomea mimi kitaninufaisha zaid nchini Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaaaah nzuri Sana hiyo