Watanzania na SWANGLISH kwenye usahili...!!!!aibuuu

Watanzania na SWANGLISH kwenye usahili...!!!!aibuuu

Mpwa umetupa full kipindi badala ya kutuwekea kale kakipande? ntaangalia nikiwa home baadae
 
Sio wote wanajua swahili in fully na pia naamini wapo wanojidai
 
jamani acheni kufatilia mambo ya watu kihivyo,so what if anaswanglish,who doesn't do that kwa vijana,stop hatin.
 
Kuchanganya Kiswahili na Kiingereza ni dalili ya utanashati, ustaarabu, na usomi.
 
Kuchanganya Kiswahili na Kiingereza ni dalili ya utanashati, ustaarabu, na usomi.

ueleweke basi ktk kuchanganya kwako, kuna watu wanacode mix na kucode switch hadi inaboa yaan mmh!
 
mtu mwenyewe anaonekana kama pilau tu...sasa makucha hayo anatengenezwa ya nini? kunata kwingi full broken tu
 
Mtoa mada naona hujamtendea haki huyu kijana...nimeangalia clip nzima Big Up kwa sana...Wengi wetu tunadhani kuongea kiswanglish ni kujidai..sidhani kama huyu kijana alifanya kwa lengo hilo. Mstaarabu na amejieleza vizuri kabisaaaaaaaa...nimeipenda hii..Eddie uwe ni mfano wa kuigwa kwa wanachuo wengi kuna kitu umeeleza ni muhimu sana kwa wale wote wanaojiunga na vyuo...
 
kazidi jamani mmh.au ndivyo anavyoongea tangu zamani?maana mimi simfahamu
 
Back
Top Bottom