Mtoa mada naona hujamtendea haki huyu kijana...nimeangalia clip nzima Big Up kwa sana...Wengi wetu tunadhani kuongea kiswanglish ni kujidai..sidhani kama huyu kijana alifanya kwa lengo hilo. Mstaarabu na amejieleza vizuri kabisaaaaaaaa...nimeipenda hii..Eddie uwe ni mfano wa kuigwa kwa wanachuo wengi kuna kitu umeeleza ni muhimu sana kwa wale wote wanaojiunga na vyuo...