Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
Imekuwa ni rahisi sana kwa mashabiki wa Timu za Kariakoo, kuamini au kuaminishwa timu yake imecheza vizuri kwa kigezo cha ball possession pekee, haijarishi imepata matokeo gani.
Naomba nikusogezee hii fact, kuna successful ball possession and unsuccessful ball possession.
Tuanze kuzichambua hizi, then nita-link na yale yanayozungumzwa mtaani hususani mechi ya Jana na leo. Hizi mechi zimebeba tafsiri ya hizi aina mbili za possession.
Kwa ufupi kabisa, Successful and unsuccessful possession inapimwa na vitu vifuatavyo: Dhamira na zone or phase ya mpira unapochezwa sana.
Sasa kama timu itatumia muda mwingi kumiliki mpira katika zone yake(Defensive Zone/phase) na endapo wakisogea offensive phase wanapoteza mpira, basi usijipige kifua hata possession ikiwa 90%-10%. Umeenda kupoteza muda. Umeenda kumpa likizo mpinzani.
Ila kama utamiliki mpira muda mwingi katika offensive phase, ni mara chache mpinzani anachukua mpira, na bado dhamira yako ni kulifika goli la mpinzani, basi hiyo ndiyo Successful Possession. Na hii ndiyo ile ya kina Barcelona bora, Man City, Arsenal e.tc.
Sasa, je timu yako ina sifa za Successful Possession? au ndiyo timu inayotoa likizo kwa wachezaji pindi inapo miliki mpira? au ndiyo inayofanywa kubwa jinga?
Mechi ya As Vita vs Simba(5-0), Kaizer Chiefs vs Simba(4-0) ni mfano wa un-successful possession hata kama matokeo yangekua tofauti ya hapo.
Mechi karibu zote za Simba kwa Mkapa ni Successful possession. Big Up Lads. Just Wow. Mara nyingi anamiliki mchezo, anamiliki matokeo pia.
Young Africans SC asili yake ni ku-defence. Mechi nyingi za ligi za yanga ni Unsuccessful possession. Ndiyo maana mechi nyingi wanazikamata ila kupata matokeo ni ngumu, hata ushindi wao mara nyingi ni chini ya goli tatu haijalishi mechi wameikamata namna gani. Tuishie hapo kuhusu NBC. Ila msimu ujao nahisi watabadilika. Ngoja tuone wachezaji watakao sajiliwa dirisha kubwa au mbinu za kocha ajae.
Mechi ya Yanga vs Al hilal, Vs Club Africain, Mechi ya Leo ni mfano wa unsuccessful possession.
Tuzungumze mechi ya leo: US Monastir ni kama wamecheza dakika 20 za mwanzo tu. Baada ya hapo wakampa Yanga mpira. Yanga akawa anacheza defensive zone na katikati kidogo. Baada ya hapo wanampa mpinzani mpira.
Ila tunakuja kuambiwa Yanga amecheza mpira vizuri, ukiuliza why, wanakuambia angalia possession. Unajisifu possession ya kupewa, hakuna anayekukaba kwenye zone yako. Tubadilike.
Na hii ndio tabia kubwa ya tabia za kiarabu, wao kucheza kwa kutaka sifa wamepita. Haram is the Way. Pata matokeo, angalia mechi inayofuata. Ni wabaya sana hawa jamaa. Wao watachukua Point tatu muhimu, wewe utarudi kujifariji umecheza vizuri. Na ukiendelea kujifanya unataka sana, unachapika bao za kutosha. Haram ball ni hatari sana.
Simba tayari wamejifunza, bila kuangalia matokeo wanayopata ila wanacheza kikubwa sana.(Kimataifa) Tujifunze kwao. Kinachokosekana kwa sasa Msimbazi ni quality tu ya wachezaji na sio mbinu za mchezo.