Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Yaani wewe kweli unaweza kujilinganisha na Kenya kweli, hakuna hata sehemu moja tunaweza kulingana na Kenya. Mfano mzuri tu Kenya ni mwekezaji wa pili ama watatu ktk nchi zinazowekeza Tanzania, Hapo hapo jiulize Tanzania ni mwekezaji wa ngapi nchini Kenya, Kenya wana Bank yao inayooperate hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi sasa ambayo ni Kenya Commercial Bank sasa jiulize sie Watanzania tuna ama bank yoyote ya kitanzania inayooperate Kenya, linganisha Jomo Kenyata International Airport na Julius Nyerere International Airport napo hapo utajionea utofauti mkubwa. In short waKenya wapo mbele sana sisi Watz kazi yetu ni mdomo, maneno ya siasa siasa,wizi na majungu ndo maana hatutaweza kupiga hatua kamwe mpaka tuombewee tena na watumishi wa Mungu wa ukweli sio hawa manabii wa uongo wanaejiita majina kibao mara Mtume na Nabii, mara mzee wa upako, mara mzee wa misukule. Yaani tunahitaji mambi kama yale ya Yesu kule Mzeituni
Mkuu mbona unatoka nje ya mada? Hapa issue ni Kenya kutumia jina la rasilimali inayopatikana Tanzania kujinufaisha wao hatuongelei maendeleo ya Kenya na Tanzania. Mkuu kwa maana hiyo unataka kusema ni sahihi tu watufanyie wanavyotaka simply kwasababu wametuzidi kiuchumi?
I am sorry maana nimeoverlook, but all in all kama sie tunautumia mlima K'njaro kwenye kutangazia pombe tu za kilimanjaro wakati tungetengeneza kahawa kama wanavofanya waKenya mi sioni shida acga tu wautumie kwa kuwa sisi tumelala.Hivi katika ziara zote wanazafanya wakubwa from your heart ipo kweli hata siku ambayo walienda hata na jani la katani kuonyesha kuwa na sie tunalima katanai.Wanaondoka na misafara kibao lakini hakuna wanachokwenda kukifanya zaidi ya blabla
na sikitika kama haya ni maneno ya mtanzaniaKenya he he he he, wacha niende Mombasa kula bata,,,,,
na sikitika kama haya ni maneno ya mtanzania
Kilimanjaro sio registered trade mark
haya mkuu lakin ingefaa sana kama hao bata unge wala bongoUsisikitike, liwalo ni liwe, mimi naenda Mombasa kula Bata....
kilimanjaro sio registered trade mark