Kuna taarifa zinazo sadikiwa kuwa ni za uhakika kuwa baadhi ya Maprofesa na majaji wanakesha kuichambua rasimu ya pili ya katiba kifungu hadi kingine, ni raisimu iliyo wasilishwa na na mwenyekiti wake Jaji Wariloba, kwa lengo la kuisaidia CCM kujenga hoja juu ya msimama wao wa serikali mbili, Hapa ni wazi kuwa CCM wanacho kwenda nacho katika bunge la katiba ni katiba mbadala na wamejipanga.
Jumapili iliyopita Mkoani Mbeya mwnyekiti wa chama cha mapinduzi Mh Rais Kikwete aliweka wazi juu ya msimamo wa chama chake kuwa CCM wanaunga mkono hoja serikari mbili, hayo aliyasema kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 37 ya chama hicho.
alisema kuwa msimamo wa CCN ni serikali mbili na anaye wapinga aje na hoja mbadala na si ngumi wala ubabe.
"Kinachofanywa na CCM ni kutengeneza mawazo au mapendekezo mbadala yenye mantiki zaidi. CCM haing'ang'anii mwonekano wa sasa wa serrikari mbili". "Ndani ya mwonekano wa sasa kuna imani kwamba yapo mabadiliko yanayoweza kufanywa ambayo si ya moja kwa moja kwenda kwenye serikali tatu kama ilivyopendekeza Tume ya Warioba"
Kwa mantiki hii CCm wamejipanga, Je! vipi kuhusu vyama vyaupizani hususani CHADEMA ambao msimamo wao ni serikari tatu?