Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati lengo la mkutano wa kimataifa kuhusu ukimwi duniani likiwa ni kujadili na kuonana maendeleo na mafanikio katika nchi mbalimbali Tazania tukiwa wamoja wao lakini banda letu limekuwa kama vile hakuna kitu kinachoendelea kuhusu masuala hayo.
View attachment 11824
Nimeshiriki mkutano wa Toronto mwaka 2006 na mkutano wa Mexico 2008 nimekosa huu mkutano, lakini ni kweli kuwa watanzania huwa hawatulii kwenye vipindi/seminars/workshops/presentation/discussion/prenary wanakuwa wanapuyanga mitaani kufanya shopping hata kununua malaya kwa mapesa ya allowance wanayolipwa. Kwa mfano wawakilishi wa serikali hulamba zaidi ya $ 300 PDM, mkutano ni wa siku tano lakini unakuta ana ticket ya siku 10 maana yake anawahi siku mbili kabla na kuchelewa siku tatu juu kwa kisingizio cha kuwa ndege zilikuwa zimejaa. Tanzania kila sehemu ni wizi wizi. UKIMWI unaambukizwa na kuturudisha sana nyuma kimaendeleo lakini kuna watu wanatamani UKIMWI usiishe leo wala kesho maana WANAFAIDI, kwao ni Biashara.Kigezo cha kutalii hapo kiko wapi?
Kigezo cha kutalii hapo kiko wapi?
Kigezo cha kutalii hapo kiko wapi?
Maybe he mean't to say wamealikwa lakini hawajatokea.Or wamealikwa,wamekwenda(na kula pesa za kujikimu) LAKINI hawana muda wa kuonyesha chochote kwenye banda lao.
mmmh!Ndio maana nakubaliana na wanaosema HIV AIDS i an industry. Labda mleta mada tumabie kwenya banda la tanzania tulitakiwa tuonyeshe nini.?
Reaerches za kisayani nyingi za tanzania tunashirikiana na mataifa au vyuo vya nje inawezekana hatuna hata hatimiliki ya matokeo ya tafiti hizi
Labda kwenye mabanda haya wachaguliwe waheshimiwa waathirika wachachache wenye HIV watumike kuombea misaada ya ARV zaidi. waongee na wafadhili kuwa afya zao zimeboreka na tuombe ARV zaidi. na ikiwezakana tuombe hata condom ndogo kwa ajili ya vijana wa primary. teh teh teh