Watanzania ni watu wa kuamini sana vitu vya kufikirika

Mandown

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
1,665
Reaction score
507
Nipo natizama star tv, mtu ananadi dawa inaitwa LIFE, intaibu magonjwa lukuki... wakiwemo watu wa "mwezi mchanga"!
Hii dawa hainatofauti na kina NGETWA, NGOKA, KIKOMBE CHA BABU nk

Watanzania.. amini na kutumia dawa iliyo thibitishwa kitaalam, katu usiache dozi yako kwa uzushi wa kitaa!!!
 
Si bora hata hiyo dawa unaiona unaweza kusema ni mitishamba imechanganywa.

Watu wanaamini mungu asiyeonekana wala kuthibitishika!
 
Mkemia na tfda wakipitisha mwengine nani anatakiwa kupitisha, tbs?
 
Si bora hata hiyo dawa unaiona unaweza kusema ni mitishamba imechanganywa.

Watu wanaamini mungu asiyeonekana wala kuthibitishika!

Wajua sayansi inathibitisha uwepo wa mungu pale ianapo sema force of nature!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…