Watanzania ni wazuri wakielimishwa wanaelewa ndiyo maana wengi wameikubali Katiba Inayopendekezwa

Watanzania ni wazuri wakielimishwa wanaelewa ndiyo maana wengi wameikubali Katiba Inayopendekezwa

bmbalamwezi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
788
Reaction score
195
Katika pitapita yangu katika mitandao ya kijamii na sehemu za wasomi kama vyuo vikuu, UDOM, UDSM, SAUT, DUCE, Tumaini na TEKU nimegundua wengi wanaikubali Katiba Inayopendekezwa. Baadhi yao wamesema tulikuwa tunafuata mkumbo kwa yale tunayoyasikia kwa watu. Mwanachuo mmoja toka UDOM kasema kuwa Katiba Inayopendekezwa alidhani imeitambua mahakama ya Kadhi lakni baada ya kuisoma na kuielewa ameikubali. Akasema kumbe watu tunadanganywa. Na wengine wengi kwenye mitandao ya kijamii wameikubali katiba hii. Hata kwenye televisheni na redio pia magezi inaonekana kuwa watu wengi wameikubali. Hii itadhihirika katika Kura ya Maoni ambayo inasubiriwa kwa hamu. Kwenu wanaJF.:clock:
 
Unaweza ukakuta mtoa mada hata atakachokula mchana hajui
 
Unaweza ukakuta mtoa mada hata atakachokula mchana hajui
Sasa wewe kula kwake kunakuhusu nini? We utakuwa na matatizo ya akili yani badala ya kujibu kwa hoja we unacomment huo ujinga. Dah hii ni sheedah kweli.
 
Sasa wewe kula kwake kunakuhusu nini? We utakuwa na matatizo ya akili yani badala ya kujibu kwa hoja we unacomment huo ujinga. Dah hii ni sheedah kweli.

Hahahahahaaa nawe ndo wale wale
 
Nilijua tu mihemko ya magamba lazima ianze

Mhemko ni wako, wanaaJF mihemko yako inatuhusu nini sis wasomaji na wachangiaji. Kapumzike upate muda angalau wa kujisomea masuala muhim ya nchi yetu ili uweze kuelimisha wanajamii wa Kitanzania wanaokuzunguka. Kuliko kutuletea matatizo yako hapa.
 
Katika pitapita yangu katika mitandao ya kijamii na sehemu za wasomi kama vyuo vikuu, UDOM, UDSM, SAUT, DUCE, Tumaini na TEKU nimegundua wengi wanaikubali Katiba Inayopendekezwa. Baadhi yao wamesema tulikuwa itunafuata mkumbo kwa yale tunayoyasikia kwa watu. Mwanachuo mmoja toka UDOM kasema kuwa Katiba Inayopendekezwa alidhani imeitambua mahakama ya Kadhi lakni baada ya kuisoma na kuielewa ameikubali. Akasema kumbe watu tunadanganywa. Na wengine wengi kwenye mitandao ya kijamii wameikubali katiba hii. Hata kwenye televisheni na redio pia magezi inaonekana kuwa watu wengi wameikubali. Hii itadhihirika katika Kura ya Maoni ambayo inasubiriwa kwa hamu. Kwenu wanaJF.:clock:
vipi kuhusu maadili ya viongozi yaliochakachuliwa(tolewa) we unaona sawa? na hao uliokutana nao wameipenda hiyo?
tatizo sio mahakama ya kazi tu mambo mengi kama wanavyo dadavua wataalam. ukisoma mwenyewe kama novel bila kuwa na mzani wa kulinganisha vigumu kuziona kasoro. NA HUO NDIO MTEGO WA MAGAMBA KUFICHA RASIMU YA WALIOBA wananchi wasipate mzani wa kupimia. katiba ya zamani haiwezi kuwa mzania bora zaidi ya kile walichokificha!
UPO HAPO...
 
Wewe acha kukurupuka kama unafata chakula cha njaa humu ndani, maadli na miiko yako katika Ibara 28-31 kasome uyaone acha kuwa bendera fata upepo, kitu kingine Warioba huyo hana Rasimu bali aliandika mapendekezo tuuuu na sio vinginevyo.
 
Tuipigie Kura ya Ndiyo Katiba Inayopendekezwa kwani hata baadhi waliochangia negatively bado wanaikubali. Kazi kwako Mzalendo. Kwa pamoja tujenge nchi yetu.
 
Tuipigie Kura ya Ndiyo Katiba Inayopendekezwa kwani hata baadhi waliochangia negatively bado wanaikubali. Kazi kwako Mzalendo. Kwa pamoja tujenge nchi yetu.
wanaoipinga wao kazi yao kubwa ni kusikiliza watu badala ya kuisoma na kuielewa, hii niNdiyoooo tu.
 
Back
Top Bottom