Watanzania ongeeni vitu vya maana ambavyo ni mtambuka na Duniani

Watanzania ongeeni vitu vya maana ambavyo ni mtambuka na Duniani

Mwanamwaiche

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2022
Posts
665
Reaction score
968
Kila muda kila siku mtanzania ni zuzu posts za kijinga, kila mahali, mijadala ya kizuzu maredioni, Twitter, insta, jamii, Facebook , WhatsApp, critical and analytical observations zero, logic na reasoning ni zero, comedy maudhui hayana akili, kupanic kwingi, kuvumiliana sifuri, kuheshimu mawazo kinzani na wengine sifuri.

Men are turning into women and so do women sounds men.

Wazo chokozi sijajitenga inanihusu pia, let's think for a better change, Let's talk economy with facts logic and reason, let's nevigate with the world contemporaries synthesizing issues in the global perspectives of looking into serious matters.

Data and facts.
 
Well, unaweza ukawa upo sawa ila ukishatambua kuwa binadamu ni tofauti na wana mawazo tofauti (na hatuwezi kufanana) basi utaelewa ndio inayofanya yaitwe maisha
Men it's painful, sisi sio kisiwa I tell you ina impact sana, we miss a universal way of looking at issues, things are not okey, something urgent need to be done, the rampant trends across multiple lines is scary, intuition has dominated over critical and analytical thinking, naogopa sana sana, naogopa sana sana.
 
Men it's painful, sisi sio kisiwa I tell you ina impact sana, we miss a universal way of looking at issues, things are not okey, something urgent need to be done, the rampant trends across multiple lines is scary, intuition has dominated over critical and analytical thinking, naogopa sana sana, naogopa sana sana
Kweli kabisa chief, watu wengine wana stress ila ndio hivyo wanatafuta sehemu za kutolea stress

Na kuna critical thinkers wako mahali wamekaa wanatunga sera ila ndio hivyo sehemu ya kuzifikisha ni changamoto kwa sababu kuna sehemu au mamlaka hazitaki possible solutions kwa problems za kwenye jamii

Nakuunga mkono, inabidi tubadilike
 
Wakati unaongea hayo unafahamu kuwa faru weupe wamebaki wawili tu duniani? Tena wote kike?
Naogopa sana sana, am sorry I had to say this way, including myself I will have to go through a thorough reflection on my side too.

I beg for your support tuje na posts za akili tu ambazo hazita kejeli wala kudharau mamlaka na jamii bali kuonesha thinking, arguing, analysis na etc on issues na pia nyakati za kupishana kiuweledi na Kwa heshima zote zote bila kutusiana, bila jazba. Nawaomba sana sana
 
Mkuu uko sawa ila tunaishi na kizazi ambacho kimepoteza tumaini na namna pekee ya faraja ni kupitia kujihusisha na mambo ya kipuuzi ambayo yanaleta faraja au ganzi ya maumivu kwa muda.

Mfano ngono, ulevi na kufatilia mambo yakuchekesha mitandaoni.

Tunahitaji muda wa kutafakari na kuweka mijadala ya kulikwamua taifa ila walioko tayari ku concetrate huko ni wachache mno tofauti na ambao hawana time ambao ni wengi. Watu wameamua kuacha mambo yaende jinsi yaendavyo ila madhara ni makubwa sana. Chanzo ni kupoteza tumaini, watu wanaamka kuhangaika na kulala just to see the next day.
 
Wengine wanaishia kuwa chawa na kuunga mkono juhudi za mheshimiwa
 
Binafsi hata Redio za TZ sisikilizi wala TV za bongo siangalii zimejaa upuuzi mada za kipuuzi puuzi na zinasambaza upuuzi, Mada kuu za vijana zimegeuka kuwa Mpira, Ku bet, Ulevi na Ngono kiasi fulani inaonyesha watu wamekata tamaa, Uchawa umekua dili, mtu anaona kwa nini niumize kichwa kwa vitu vya msingi wakati nikiwa chawa natoboa kirahisi tu. Chawa wanitwa mpaka bungeni wanapata coverage na attention ya viongozi, tujiangalie.
 
Mkuu uko sawa ila tunaishi na kizazi ambacho kimepoteza tumaini na namna pekee ya faraja ni kupitia kujihusisha na mambo ya kipuuzi ambayo yanaleta faraja au ganzi ya maumivu kwa muda.

Mfano ngono, ulevi na kufatilia mambo yakuchekesha mitandaoni.

Tunahitaji muda wa kutafakari na kuweka mijadala ya kulikwamua taifa ila walioko tayari ku concetrate huko ni wachache mno tofauti na ambao hawana time ambao ni wengi. Watu wameamua kuacha mambo yaende jinsi yaendavyo ila madhara ni makubwa sana. Chanzo ni kupoteza tumaini, watu wanaamka kuhangaika na kulala just to see the next day.
Daah inaumiza sana maudhui yapo tena mengi mfano uchumi Kwa Sasa hali si shwari kabisa na haya matozo ni live indicator na inahitaji mjadala mpana, faraja na burudisho havileti maendeleo bila uchumi, we have to work think and be happy somewhere change inatakiwa
 
Binafsi hata Redio za TZ sisikilizi wala TV za bongo siangalii zimejaa upuuzi mada za kipuuzi puuzi na zinasambaza upuuzi, Mada kuu za vijana zimegeuka kuwa Mpira, Ku bet, Ulevi na Ngono kiasi fulani inaonyesha watu wamekata tamaa, Uchawa umekua dili, mtu anaona kwa nini niumize kichwa kwa vitu vya msingi wakati nikiwa chawa natoboa kirahisi tu
So deadly, daily yanga, Simba sijui tukale Bata wapi, tukianza sisi hapa jukwaani itasaidia sana. This happens to be the general trend Kwa kila kitu na walimwengu wanatubrand hivi na ndio inakuwa taswira yetu ya huko duniani na huko duniani mtanzania anakuwa bubu muda mwingi kwenye platforms za kuongea na ukiwa bubu wanahitimisha hawa Mazuzu.
 
Kuna jambo halipo sawa,au kuna mtu anacontrol akili za watu ili wafuatilie ujinga ujinga tu...Tumetoka kupiga makelele sijui Mandonga...sasa hivi kila kona sijui Mlete mdhungu...likitoka hili sijui litakuja lipi!
 
Hatari sana, kila nikiangalia Vipindi vya TV ama kusikiliza redio za nchi jirani ukilinganisha na Hapa naishia kusikitika tu.
 
Naogopa sana sana, am sorry I had to say this way, including myself I will have to go through a thorough reflection on my side too.

I beg for your support tuje na posts za akili tu ambazo hazita kejeli wala kudharau mamlaka na jamii bali kuonesha thinking, arguing, analysis na etc on issues na pia nyakati za kupishana kiuweledi na Kwa heshima zote zote bila kutusiana, bila jazba. Nawaomba sana sana
Zipo ila hazina wachanguaji.
 
Back
Top Bottom