Nimeipitia rasimu ya katiba, haya maisha yalivyo magumu tukiongeza na rais wa tatu itakuaje, maana kuhudumia marais watatu wenye mawaziri kumi natano manaibu waziri 15 makatibu wakuu ,watu wa usalama Dar es Salaam tutakoma.Sioni kama tunahitaji marais watatu ukingizingatia hali halisi ya uchumi wetu.Hebu tulitizame hili wanajamii......