MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Watanzania Vibe za Maandamano hatuwezi hilo liko wazi na halihitaji mjadala wa aina yoyote na binafisi nawaone huruma Wakina Mbowe na wengineo wanao piga kelele kutetea watu ambao hawawezi jitetea kamwe.
Watanzania tulizaliwa na uoga na tutazikwa nao, linapo kuja swala la uoga hatuna wa kushindana naye hapa Duniani ila linapo kuja swala la ujasiri wa mdomoni sisi ni wa kwanza Duniani.
Maandamano tuawaachie nchi kama Kenya, na nchi zingine za Afrika ila sio sisi, hili hatuwezi na hakuna haja ya kuwa tunalizungumzia kabisa.
Tuwe tunajadili mambo mengine ila sio Maandamano ambayo hatuwezi kamwe.
Uswahili na Maandamano haviendani kabisa, nchi asilimia 90 ni waswahili.