Watanzania tuache kuropoka jamani

Prince Luanda

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
2,255
Reaction score
2,825
Kuna mtu jana aliapa kuwa endapo Ronaldo atafunga hat-trick kwenye Derby ya Madrid ataacha kushabikia Barcelona na ataunfollow wachezaji wote wa Barcelona Instagram sasa ivi ameumbuka ukimuuliza kuhusu ahadi alioitoa jana anabaki kubwabwaja tuu.
Wana JF na nyie toeni ushuhuda wa watu waliotoa ahadi za ajabu ambazo hata hawawezi kuzitimiza kabla ya mechi ya Madrid Derby.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…