Usemayo ni kweli kabisa, Vidampa wengi wanafikiri uvunjifu wa Demokrasia ni bomu kwa wengine, wala wao haliwahusu!Pamoja na vyombo vya habari kupotosha taarifa nyingi zilizotolewa na wanachi kuhusu kutofurahishwa na nguvu kubwa ya kuzima maandamano, watanzania tunapaswa kujua kuwa tusipokuwa na upinzani imara nchi hii tutakuwa kama yatima, hapatakuwepo wa kututetea pale watawala watakapokuwa wanafanya jinsi watakavyo.
Kwa hilo CCM imefanikiwa. Kuwadànganya wananchi kuwa kudai haki ni kuleta uvunjifu wa amani. Ukaribiapo uchaguzi picha na sinema za kuonesha mapigano huko Rwanda, Burundi na Zaire na wakimbizi wanavyo teseke huzunguka vijijini.Pamoja na vyombo vya habari kupotosha taarifa nyingi zilizotolewa na wanachi kuhusu kutofurahishwa na nguvu kubwa ya kuzima maandamano, watanzania tunapaswa kujua kuwa tusipokuwa na upinzani imara nchi hii tutakuwa kama yatima, hapatakuwepo wa kututetea pale watawala watakapokuwa wanafanya jinsi watakavyo.
Duniani kote wanaoleta vurugu kwenye maandamano ni vyombo vya usalama.Pamoja na vyombo vya habari kupotosha taarifa nyingi zilizotolewa na wanachi kuhusu kutofurahishwa na nguvu kubwa ya kuzima maandamano, watanzania tunapaswa kujua kuwa tusipokuwa na upinzani imara nchi hii tutakuwa kama yatima, hapatakuwepo wa kututetea pale watawala watakapokuwa wanafanya jinsi watakavyo.
Hatuhitaji upinzani wa kina Mbowe na Lissu wakisaliti wakutumiwa na mabeberu. Vipi mkuu mbona sikukuona kwenye maandamano uchwara leo? Wakati karibu wiki nzima ulikuwa unahamasisha sana?Pamoja na vyombo vya habari kupotosha taarifa nyingi zilizotolewa na wanachi kuhusu kutofurahishwa na nguvu kubwa ya kuzima maandamano, watanzania tunapaswa kujua kuwa tusipokuwa na upinzani imara nchi hii tutakuwa kama yatima, hapatakuwepo wa kututetea pale watawala watakapokuwa wanafanya jinsi watakavyo.
Hao ni keyboard warriors. Watupu.Nyoka wa kibisa.Hawana madhara.Wana kelele nyingi kwenye mitandao lakini uhalisia ukidhihiri wanaingia mvunguni.Hatuhitaji upinzani wa kina Mbowe na Lissu wakisaliti wakutumiwa na mabeberu. Vipi mkuu mbona sikukuona kwenye maandamano uchwara leo? Wakati karibu wiki nzima ulikuwa unahamasisha sana?