Watanzania tuache unafiki, nje ya wanasiasa ni kundi lipi linaweza jitokeza kupambana tupewe KATIBA MPYA?

Watanzania tuache unafiki, nje ya wanasiasa ni kundi lipi linaweza jitokeza kupambana tupewe KATIBA MPYA?

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Nisingependa niandike mambo mengi,

Watanzania mnaoishi nchi hii kwa sasa hata wale mliotangulia mbele za Haki kama mnaweza soma andiko hili jitokezeni mseme ni nani anaweza jitokeza akapambana watanzania tukapata Katiba Mpya?

Sambamba na swali hilo ni mataifa mangapi ambayo yamepata katiba mpya pasipo kelele za wanasiasa hasa wanasiasa wa vyama upinzani?

Mtanitajia wanaharakati je Tanzania wapo wa kutosha kupigania katiba mpya?

Je, kuna kundi gani jingine?
 
Back
Top Bottom