jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 11,860 Reaction score 12,071 Oct 11, 2025 #21 Tunaongezea.. Wale wachache waache kuteka, KUNYANYASA, KUTESA, KUUWA, wizi wa maliasili na rasilimali. Waache ubinafsi, uroho wa utajiri na madaraka. Waache kuwa MACHAWA....
Tunaongezea.. Wale wachache waache kuteka, KUNYANYASA, KUTESA, KUUWA, wizi wa maliasili na rasilimali. Waache ubinafsi, uroho wa utajiri na madaraka. Waache kuwa MACHAWA....
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 11, 2025 #22 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Voltaire JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 1,964 Reaction score 2,192 Oct 11, 2025 #23 SSH2025_2030 said: 1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu). 2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa. #OktobaTunatiki. NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why? Click to expand... Viongozi wanamali ambazo ukiwaambia wazitolee maelezo hawatakuwa nayo! Kama kodi zetu ndio zinalipa ten ten kuhonga watu wahidhurie kampen za Ssh kuna haja gani sasa ya kulipa iyo kodi? Fikiria kwa kichwa sio makalio yako makubwa na meusi stupid!
SSH2025_2030 said: 1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu). 2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa. #OktobaTunatiki. NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why? Click to expand... Viongozi wanamali ambazo ukiwaambia wazitolee maelezo hawatakuwa nayo! Kama kodi zetu ndio zinalipa ten ten kuhonga watu wahidhurie kampen za Ssh kuna haja gani sasa ya kulipa iyo kodi? Fikiria kwa kichwa sio makalio yako makubwa na meusi stupid!
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,814 Oct 13, 2025 Thread starter #24 Oktoba tunatiki