Watanzania tuacheni upumbavu! Huyu Banda kama anajua ulaya hawamuoni?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Wakati mwingine kuna ujinga na upumbavu unaletwa na mihemko hasa ya wachambuzi wa michezo ambao mimi sijawahi kuwaekewa kabisa hapa nchini.

Hizi sifa za Banda ni kama zimetiwa chumvi mno. Kama kweli angekuwa na uwezo unaoimbwa leo, kwa nini vilabu tajiri vya Ulaya, Uarabuni, South Afrika hawajamuona? Tuacheni kuwa obsessed na mchezaji mmoja kwa sifa za kizushi zilizopitiliza.

Miqueison alikuwa mchezaji bora sana binafsi nadiriki kusema ni moja ya wachezaji adimu sana kwenye soka.

Lakini hawa wachambuzi wanaotuhadaa na Banda.. Banda ..walimuona wa kawaida sana.Hata walipokuwa wakitaja wachezaji wao bora ilikuwa nadra kusikia akitajwa.Leo hii anahitajika na club tajiri inayoujua mpira.Baada ya yeye kwenda ndipo utasikia sifa zinamimika sana.

Watanzania tumekuwa wapumbavu sana linapokuja suala la soka.
Kuna timu inasajili mwonekano wa kimpira na si uwezo wa kucheza.Wakiona mchezaji anatengeneza nywele tu iwe bleach au dreads anasajiliwa kwa sifa zote.Mwisho wa siku wanakuja kulia na tff.

Tuacheni maneno maneno,hasa ninyi wachambuzi maandazi.Kama mlikuwa hamumuelewi Miqueison mnawezaje kuelewa mchezaji mzuri?

Nyie msioelewa ubora wa Morrison mnawezaje kuona mchezaji mzuri?
Nyie mnaobeza wachezaji kama Chama,Bwalya,Mugalu,Boko,na wengine wengi wa Simba mnawezaje kuona wachezaji wazuri?

Nyie mlioshindwa kuona intellect ya Carlinno mnawezaje kuona mchezaji bora?
Nyie mnaoona Ninja ni beki bora tunawaaminije kuwa mnajua kuona vipaji vya wachezaji bora?
 
Ulivyo mbumbumbu hujui huyo dogo anacheza ulaya?
 
We ni taqle tuu. Hauna hoja zozote zaidi ya kupelekewa mootoo!!!!

Unamawazo mgando sana kwamba huko ndiko kwenye watu bora huku Afrika hamna.

Takataka kabisa wewe🚮🚮🚮🚮🚮
 
Unateseka ukiwa wapi, naona Kama vile umevurugwa kulikoni, shida yako nini unazunguka zunguka si unyooshe maelezo banda kakufanyaje😀😀😀
 
Acha kufoka foka wewe! Usikute ni mchimba chumvi tu! Kha!!!
 
Mkuu umepayuka sana,ulimwengu huu unavipaji vingi vya soka,haiwezekani na haitotokea wote wakacheza Ulaya,lakini pia kuna wachezaji wazuri lakini kwa mfumo wa mwalimu anaweza asiwe chaguo lake anaweza chagua mchezaji wa kawaida kabisa na akafanya vema kutoka na na kuendana na aina ya mfumo anaoutaka mwalimu.
 
Ambundo ni bora kuliko huyo Banda, tatizo wabongo hatuthamin vyetu.
 
Ndiyo Ulaya ni bora na pana maslahi mazuri zaidi lakini haimanishi wote lazima wacheze Ulaya.

Afrika, Amerika kuna wachezaji wengine wazuri sana kuliko hata wachezaji wanaocheza Ulaya.

Kama ambavyo Ulaya, kuna wachezaji wenye vipawa na juhudi ila hawaimbwi sana kama wenzao.

Lakini pia, kwenda Ulaya haijustify kwamba mchezaji ni mzuri ama la!. Ndiyo ni ndoto ya kila mchezaji lakini haimaanishi kila mmoja ana kismati cha kucheza huko.

Hivyo, inawezekana akawa Mchezaji mzuri hata kama anacheza huku.
 
Banda anaweza kuwa mchezaji mzuri au vinginevyo!

Jambo muhimu ambalo inabidi ukae ushughurishe kichwa chako ni kuwa issue ya kwenda kucheza Ulaya au whatever place sio jambo tu la kusema lazima uwe magical.

Niliwahi kusikia interview ya Kidiaba(former TP Mazember player) juu ya issue ya Samatta kwenda Ulaya na sio wachezaji wengine. What I noticed from his interview ni kwamba kuna mambo mengi just kutaja machache, licha ya kipaji kuna vitu kama bahati, chance, network..etc

Nakupa practical example, wewe hapo mleta mada hapa unaweza ukawa na akili kisoda au kubwa but still ukaweza kuassume roles za watu wenye akili nyingi and vice versa.

Just to summarize ni hivi sio tu talent au uwezo wako kichwani vinaeleza sehemu utapokuwa peke yake but there are other issues that play a role in defining your success, your social profile or anything about you and these are time, chance, network...etc.
 
Boss Louis Micq. All ahaly na kaizer na timu zingine hawa kumuona? Kwa nn wamuone sasa...

Usajili ni kamali... Una weza pata na una weza kosa... Hivyo tusubiri
Mkuu kumbuka huyu alikuwa mali ya Mamelod, ud song alikuwa kwa mkopo tu.
 
Tatizo la kuvutia bange kwenye choo cha shimo kinachoelekea kujaa.

Unajikuta bonge la mjanja pale unaposema ulichowahi kufanyiwa na wahuni kuliko wewe
We ni taqle tuu. Hauna hoja zozote zaidi ya kupelekewa mootoo!!!!

Unamawazo mgando sana kwamba huko ndiko kwenye watu bora huku Afrika hamna.

Takataka kabisa wewe[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
moldova alikuwa analipwa dollar 1500 per month simba wanampa 5,000 usd kwa nini akatae/ na simba imeonyesha kwamba afrika ni team kubwa? team ya moldova walitakiwa alipe usd 300,000 kwa nyasa bullets wakashindwa hawana hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…