Watanzania tuacheni upumbavu! Huyu Banda kama anajua ulaya hawamuoni?

Pole sana kak.. nahisi hii ni baada yakutambulishwa MAKAMBO badala ya Fundi Banda .
 
Embu tuanzie kwa ninja apo😎😎😎
 
Uto tulieni dawa iwaingie na bado tumeanza na Banda tunachukuwa Bruno Fernandez
 
Huyu Louis Mikisone unayemuona kifaa akiwa simba, akifika Al ahali atasugua benchi, kwa muda wote hadi aombe kuvunjiwa mkataba kama makambo wa yanga
 
Pole sana kak.. nahisi hii ni baada yakutambulishwa MAKAMBO badala ya Fundi Banda .
Moldova ni nchi ya 177 katika viwango vya fiffa, Moldova ni nchi inayoshika nafasi ya 52 katika nchi 55 kwa viwango vya soka nci za ulaya. Peter Banda ana kazikubwa ya kufanya ili kudhihirisha ubora alionao maana ki uhalisia Ametoka katika nchi ambayo Kiwango Cha soka kwa takwimu Kiko chini Sana kulinganisha na Tanzania
 
Ambundo kwani ni Mtz?
Banda ndo kwanza ana 20yrs, hajawahi cheza Tz
Usiwe una comment bila kuelewa mambo! Kwa uelewa wako unahisi Ambundo si mtanzania ni mgiriki!
 
Kimsingi kila mchezaji ana kazi kubwa ya kudhihirisha kipaji chake anaposajiliwa kwenye timu mpya. Na ndio maana wanasema usajili wowote ule ni kamali.
Mchezaji anaweza kutoka ligi ya Ivory Coast na akaenda kuwika EPL, mwingine akatoka La Liga na akaenda kuvurunda kwenye ligi ya Somalia.

Kuwa mzuri ni jambo moja, kuendelea kuwa hivyo ni jambo jingine. Na hii ni kwa wachezaji wote, sio banda peke yake.
 
Banda ni mchezaji mzuri na umri wake bado mdogo. Lakini inawezekana akafanikiwa au asifanikiwe kwenye ligi yetu. Na hiyo ni kawaida kumtokea mchezaji yoyote yule duniani anaweza akawa mzuri kwenye timu A lakini akaenda timu B akawa mbovu mifano ya karibuni tu hapa ni Chikwende na Sarpong. Siku zote duniani kote usajili ni kamari.
 
Pitia Condom mbili kwa mangi nishalipia kaka.
 
Kwaio hata miq hajui??
 
Tz ina amani sana, mtu unaamka tu asubuhi na kutangza wenzako ni wapumbavu. Nchi zingine jambo kama hili linazua maandamano na mauaji ya kiholela[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…