Tuvuteni subra kidogo. Tumpe mama muda. Tozo zitaisha. Ila mashaka yangu wasiokuwa na Umeme wao nyumba zao hazitalipa Kodi ya majengoWatanzania muda tulio nao kwa sasa na matatizo tunayo pambana nayo liwe fundisho.
Mwaka 2020 October tukubali kuwa tulichezewa sana na tukakubali na matokeo yake ndiyo haya sasa.
Bunge lililopatikana ni matokeo ya sisi kukubali kudanganywa kwa maneno mazuri lakini sasa tunaonja shubiri.
Hakuna waziri anayejali wala kusikiliza kilio cha tozo gandamizi za miamala na sasa tozo za majengo kupitia huduma za umeme.
Hatuna mwakilishi pale bungeni tukubali kuwa wote waliopo pale ni wana CCM tu na wapo pale kutetea maamuzi yoyote ya kutoka CCM.
View attachment 1901401
Kabisa inabidi tumpinge huyu Bibi Tozo sasa anaharibu nchi yetu kwa tozo.Watanzania muda tulio nao kwa sasa na matatizo tunayo pambana nayo liwe fundisho.
Mwaka 2020 October tukubali kuwa tulichezewa sana na tukakubali na matokeo yake ndiyo haya sasa.
Bunge lililopatikana ni matokeo ya sisi kukubali kudanganywa kwa maneno mazuri lakini sasa tunaonja shubiri.
Hakuna waziri anayejali wala kusikiliza kilio cha tozo gandamizi za miamala na sasa tozo za majengo kupitia huduma za umeme.
Hatuna mwakilishi pale bungeni tukubali kuwa wote waliopo pale ni wana CCM tu na wapo pale kutetea maamuzi yoyote ya kutoka CCM.
View attachment 1901401
Hata hao wenye jimbo hawana ubavu wa kuwahoji wabunge wao maana wana ccm tabia zao zinafanana tu wao ni ndiyo ndiyoTrue..Kabisa
Kila jimbo wananchi wawaweke KITIMOTO wabunge wao kuhusu hizi Tozo nani kawatuma.....
Shinikizeni mikutano ya Wabunge huko majimboni muwahoji...
subira? wakati tunaendelea kuumiaTuvuteni subra kidogo. Tumpe mama muda. Tozo zitaisha. Ila mashaka yangu wasiokuwa na Umeme wao nyumba zao hazitalipa Kodi ya majengo
Kwa wanaojifunza HISTORIA ya taifa letu ADHIMU watakukumbusha ya kwamba BABA WA TAIFA alileta KODI YA KICHWA ili KUPATA FEDHA YA MAENDELEO KWA NCHI.....Watanzania muda tulio nao kwa sasa na matatizo tunayo pambana nayo liwe fundisho.
Mwaka 2020 October tukubali kuwa tulichezewa sana na tukakubali na matokeo yake ndiyo haya sasa.
Bunge lililopatikana ni matokeo ya sisi kukubali kudanganywa kwa maneno mazuri lakini sasa tunaonja shubiri.
Hakuna waziri anayejali wala kusikiliza kilio cha tozo gandamizi za miamala na sasa tozo za majengo kupitia huduma za umeme.
Hatuna mwakilishi pale bungeni tukubali kuwa wote waliopo pale ni wana CCM tu na wapo pale kutetea maamuzi yoyote ya kutoka CCM.
View attachment 1901401
wewe haupo jimboni?True..Kabisa
Kila jimbo wananchi wawaweke KITIMOTO wabunge wao kuhusu hizi Tozo nani kawatuma.....
Shinikizeni mikutano ya Wabunge huko majimboni muwahoji...
wanajibu oyeeeeeeee huku wakipiga miruzi na nderemoAlafu utamsikia mtu anakwambia ccm hoyeeeeeeeee