DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
Tanzania alipimiwa wapi wakati mashine zetu zipo kwenye uchunguzi.Jana kwenye Taarifa ya habari ITV, dereva mmoja mtanzania anasema walimpima corona huko Kenya akakutwa positive na kuja Tz akakutwa Negative.
Mie nimetoa hiyo taarifa,hivyo vijembe vyenu sihusiki navyo.Hivi maabala zetu zinafanya kazi ehee?
Jibu tu kwa uelewa wako mkuu...wew binafsi unazani vipimo vyetu pale sijui muhimbili vinafanya kazi kweli?Mie nimetoa hiyo taarifa,hivyo vijembe vyenu sihusiki navyo.
Kwani walitangaza kwamba sasa hivi hawapimi corona hadi uchunguzi uishe?Tanzania alipimiwa wapi wakati mashine zetu zipo kwenye uchunguzi.
Kuna watu wanasahau haraka sana
Wakimwaga mboga piga sufulia la ugaliTutee ujinga na upumbavu,wao wamefunga wakiwa na sababu,nyinyi mnafunga eti kuwakomoa si upumbavu Huo,siwezi toka nikatetea MTU aliyefanya ushetani na ameamua aue watu wake Lisa uchumi,sasa akifa na yeye sijui itakuwaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
WATANZANIA TUAMKE TULITETEE TAIFA LETU
Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa.
Ipo hivi
Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa kila Dereva ana Corona that's means kuwa Watalii watakuwa wanaogopa Sana kuja nchini. Wanajua tungefaidika na Utalii kipindi hiki ambacho wao wamejifungia.
Mission ya pili ilikuwa ni kutaka kupata fedha za IMF na kweli wamezipata tayari lakini Kitendo Cha sisi kuendelea na shughuli zetu Kama kawaida kimeonekana kina manufaa zaidi. Tayari Kenya wameshalipa USD 739 Milioni kwa ajili ya Corona. Hatua hii Tanzania waliokataa wao wameshachukua fedha hili ni deni kwa Taifa na Ni fedha nyingi sana.
Kuna Mwandishi mmoja wa Kenya anaitwa Gordon Opiyo ameandika kuhusu hatua hii ya Tanzania kufunga mipaka ameandika kuwa:-
Tanzania is hitting back. As I have been warning, we should be very careful about this Corona thing.
In my honest opinion, our Government is overreacting.We are over dramatizing Corona. I honestly doubt the figures "50 Tanzanians sent back" how comes Kenyans coming from Tanzania are turning out to be negative, and 90% of Tanzanian drivers are turning out to be positive??????????? Kwani Corona chooses Nationality?????
I think the US and WHO are using us to stigmitize Tanzanians after Magufuli refused to play ball and roll over like a puppy.
Honestly, if things were that bad, even the Truck Drivers arriving from Tanzania would be telling us stories about seeing bodies rotting in the streets...
I honestly think that we can't mess with our biggest trading partners like this, ata kama we are getting some token aid from United States and IMF.
Do you know that Markiti will collapse if we don't get supplies from Tanzania?
Do you know that Onion prices will triple if we do not get supplies from Tanzania?
Do you know that 70%of the Oranges you eat come from Tanzania????
We will face severe shortage, because cartels killed the Agricultural Sector in Kenya.
I would honestly ask all our decision makers to stop the Corona games and start thinking about the economy.
Pesa ya IMF tushapata. Tuwache hiyo mchezo Sasa.
CHA KUSHANGAZA.
Kuna baadhi ya watanzania wanaona kuwa Kenya wanatupenda sana. Wanaona sisi kufunga mipaka ni tatizo... Hapana hili ni la kupongezwa Sana.
Logic ndogo tu.
Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.
Watanzania hii ni Vita Amkeni
Ni matokeo ya umbeya wetu wa kila kukicha tunatangaza ongezeko la maambukizi ya Korona nchini Kenya huku yetu tunaficha.WATANZANIA TUAMKE TULITETEE TAIFA LETU
Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa.
Ipo hivi
Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa kila Dereva ana Corona that's means kuwa Watalii watakuwa wanaogopa Sana kuja nchini. Wanajua tungefaidika na Utalii kipindi hiki ambacho wao wamejifungia.
Mission ya pili ilikuwa ni kutaka kupata fedha za IMF na kweli wamezipata tayari lakini Kitendo Cha sisi kuendelea na shughuli zetu Kama kawaida kimeonekana kina manufaa zaidi. Tayari Kenya wameshalipa USD 739 Milioni kwa ajili ya Corona. Hatua hii Tanzania waliokataa wao wameshachukua fedha hili ni deni kwa Taifa na Ni fedha nyingi sana.
Kuna Mwandishi mmoja wa Kenya anaitwa Gordon Opiyo ameandika kuhusu hatua hii ya Tanzania kufunga mipaka ameandika kuwa:-
Tanzania is hitting back. As I have been warning, we should be very careful about this Corona thing.
In my honest opinion, our Government is overreacting.We are over dramatizing Corona. I honestly doubt the figures "50 Tanzanians sent back" how comes Kenyans coming from Tanzania are turning out to be negative, and 90% of Tanzanian drivers are turning out to be positive? Kwani Corona chooses Nationality?
I think the US and WHO are using us to stigmitize Tanzanians after Magufuli refused to play ball and roll over like a puppy.
Honestly, if things were that bad, even the Truck Drivers arriving from Tanzania would be telling us stories about seeing bodies rotting in the streets...
I honestly think that we can't mess with our biggest trading partners like this, ata kama we are getting some token aid from United States and IMF.
Do you know that Markiti will collapse if we don't get supplies from Tanzania?
Do you know that Onion prices will triple if we do not get supplies from Tanzania?
Do you know that 70%of the Oranges you eat come from Tanzania????
We will face severe shortage, because cartels killed the Agricultural Sector in Kenya.
I would honestly ask all our decision makers to stop the Corona games and start thinking about the economy.
Pesa ya IMF tushapata. Tuwache hiyo mchezo Sasa.
CHA KUSHANGAZA.
Kuna baadhi ya watanzania wanaona kuwa Kenya wanatupenda sana. Wanaona sisi kufunga mipaka ni tatizo... Hapana hili ni la kupongezwa Sana.
Logic ndogo tu.
Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.
Watanzania hii ni Vita Amkeni
Walisema uchunguzi huo hauta affect zoezi la upimajiTanzania alipimiwa wapi wakati mashine zetu zipo kwenye uchunguzi.
Kuna watu wanasahau haraka sana
Muhimbili tena?!!!Jibu tu kwa uelewa wako mkuu...wew binafsi unazani vipimo vyetu pale sijui muhimbili vinafanya kazi kweli?
We mwenyewe mkenya sio mtanzaniaMbona mnalalamika sana , kwaiyo mlitaka muwapelekee corona .
Mimi Niko upande wa Kenya.
Mkuu kama nilisikia bongojiwe hatuna vipimo for now....wapo kwenye uboreshaji baada ya mapapai na mbuzi kutest positive?Muhimbili tena?!!!
Nimekwambia dereva kapima corona na kapata majibu, sasa wewe bado unauliza kama vipimo vinafanya kazi.
Nigrastratatract Haya mnayoyaona sasa ni matokeo ya Elimu yetu kuzalisha wajinga wenye vyeti vya degree na vyama vya siasa kutengeneza wapumbavu wenye degree.C&P
Na Thadei Ole Mushi.
Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa.
Ipo hivi Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa kila Dereva ana Corona that's means kuwa Watalii watakuwa wanaogopa Sana kuja nchini. Wanajua tungefaidika na Utalii kipindi hiki ambacho wao wamejifungia.
Mission ya pili ilikuwa ni kutaka kupata fedha za IMF na kweli wamezipata tayari lakini Kitendo Cha sisi kuendelea na shughuli zetu Kama kawaida kimeonekana kina manufaa zaidi.
Tayari Kenya wameshakopa USD 739 Milioni kwa ajili ya Corona. Hatua hii Tanzania waliikataa wao wameshachukua fedha hili ni deni kwa Taifa na Ni fedha nyingi sana.
Kuna Mwandishi mmoja wa Kenya anaitwa Gordon Opiyo ameandika kuhusu hatua hii ya Tanzania kufunga mipaka ameandika kuwa:-
Tanzania is hitting back. As I have been warning, we should be very careful about this Corona thing.
In my honest opinion, our Government is overreacting.We are over dramatizing Corona. I honestly doubt the figures "50 Tanzanians sent back" how comes Kenyans coming from Tanzania are turning out to be negative, and 90% of Tanzanian drivers are turning out to be positive??????????? Kwani Corona chooses Nationality?????
I think the US and WHO are using us to stigmitize Tanzanians after Magufuli refused to play ball and roll over like a puppy.
Honestly, if things were that bad, even the Truck Drivers arriving from Tanzania would be telling us stories about seeing bodies rotting in the streets...
I honestly think that we can't mess with our biggest trading partners like this, ata kama we are getting some token aid from United States and IMF.
Do you know that Markiti will collapse if we don't get supplies from Tanzania?
Do you know that Onion prices will triple if we do not get supplies from Tanzania?
Do you know that 70%of the Oranges you eat come from Tanzania????
We will face severe shortage, because cartels killed the Agricultural Sector in Kenya.
I would honestly ask all our decision makers to stop the Corona games and start thinking about the economy.
Pesa ya IMF tushapata. Tuwache hiyo mchezo Sasa.
CHA KUSHANGAZA.
Kuna baadhi ya watanzania wanaona kuwa Kenya wanatupenda sana. Wanaona sisi kufunga mipaka ni tatizo... Hapana hili ni la kupongezwa Sana.
Logic ndogo tu.
Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.
Kuna Mambo hata mtoto wa kidato cha Pili tu anaweza akaona. Cha kushangaza Graduate aliyeshikiwa akili utasikia Tanzania haiwawezi Kenya.
Ole Mushi
0712702602
Maoni ya hii thread ni ya mwandishi na wakati muafaka kuyatafakari na kuyajadili kama kuna kaukweli kokote ama la....Mbase1970
Sasa nyie mnaojua sana kuhusu kukuza uchumi mnalalamika nini? Fungeni na nyie mipaka yenu mkuze uchumi wenu furesh mkuu...mnajamba jamba nini wakati kunya mnaweza!?
Nyie ficiem ndo muache panic mkuu....watu na nchi yao wanafanya yao kwa ajili ya wananchi wao nyie mwatoa mapovu...tulieni dawa iwaingiee...
Upo online muda wote kila thread wa kwanza ku comment we nomaMbona mnalalamika sana , kwaiyo mlitaka muwapelekee corona .
Mimi Niko upande wa Kenya.
Upo online muda wote kila thread wa kwanza ku comment we noma