Ukiona mtu anapiga desa (anaibia kwenye mtihani) mchongee, maana huyu kauzu atakuja kupata kazi ya maana kuliko wewe wakati darasani alikuwa kilaza tu.
Ukimuona mgeni anaishi mtaani kwetu katoka nchi jirani, msemee maana siku si nyingia atakuwa mbunge, kisha waziri then raisi achukue rasilimali zetu na kuhamishia kwao.
Ukiona fataki linamnyemelea mtoto wa shoga yako lisemee, maana mtoto wa shoga yako akipata ukimwi jua wazi kuwa na kale kaserengeti boy unakotembea nako kana uhusiano na mtoto wa shoga yako.
Hebu endelezeni visa vya unoko tuone mwisho wa siku tutapata kitu gani.
Doing the right thing for a wrong reason makes it wrong.Ukiona mtu anapiga desa (anaibia kwenye mtihani) mchongee, maana huyu kauzu atakuja kupata kazi ya maana kuliko wewe wakati darasani alikuwa kilaza tu.
Ukimuona mgeni anaishi mtaani kwetu katoka nchi jirani, msemee maana siku si nyingia atakuwa mbunge, kisha waziri then raisi achukue rasilimali zetu na kuhamishia kwao.
Ukiona fataki linamnyemelea mtoto wa shoga yako lisemee, maana mtoto wa shoga yako akipata ukimwi jua wazi kuwa na kale kaserengeti boy unakotembea nako kana uhusiano na mtoto wa shoga yako.
Hebu endelezeni visa vya unoko tuone mwisho wa siku tutapata kitu gani.
Doing the right thing for a wrong reason makes it wrong.
mbombo ngafu