Watanzania tuanzishe vuguvugu la kuhusu mabando. Hali ni mbaya, tunaibiwa sana

Watanzania tuanzishe vuguvugu la kuhusu mabando. Hali ni mbaya, tunaibiwa sana

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Nadhani tuje na mkakati wa kudai kushushwa kwa gharama za mabando maana hali ni mbaya sana.

Tunaibiwa sana na haya makampuni ya simu.

Vifurushi vya data vipo juu sana hali sio nzuri hata kidogo.

Tutaendelea kunyanyasika hivi hadi lini ndani ya nchi yetu wenyewe?

Tuje na mkakati hali ni mbaya
 
Aliyekwambia Mitandao ndio inakuibia ni Nani ?

Kikulacho ki-nguoni Mwako....

 
kuna wakati huwa nafurahishwa sana na wakenya kwa namna wanavyo react kuingia barabarani ili kupigania madai yao.

i swear laiti kama watz tunge adopt tabia hii culture, tusingekuwa tunashuhudia gharama kubwa ya huduma za internet. wanasiasa wangekuwa wanaingiwa na uoga wa ku approve baadhi ya gharama ambazo zinawa-favour wafanyabiashara.
 
Tatizo Watanzania ni mapoyoyo👇😁😁😁
downloadfile(3)jc.jpg
 
Back
Top Bottom