Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kuna watu ni wagumu kubadilika kuendana na zama. Zamani mtu akiwa na kitambi au mnene ilikuwa ni sifa lakini zama hizi ni suala la aibu. Kumwambia mtu kanenepa au ana kitambi ni matusi.
Nawaomba acheni kuwaambia watu hivyo, hiyo siyo sifa.
Uzi tayari.
Nawaomba acheni kuwaambia watu hivyo, hiyo siyo sifa.
Uzi tayari.