Ndugu zangu inaabidi tubadilike tuachane habari yakulima kwa mkono,imeshapitwa nawakati nikujirudisha nyuma kimaendeleo.nimepitia post nyngi sna hapa jf kuhusu kilimo nilichogundua watu bdo wanatumia manpower kwnye kulima nh kitu ambayo haifai inarudisha nyuma maendeleo.mbadala ya manpower angalau utumie ngombe kulimia,au powertiler au trector.ukiwa na maksai wako wawili unaweza kulima nusu eka kwa cku.ukiwa napowertila unaweza kulima eka4 hadi 6 kwa cku,ukiwa na trakta unaweza ukalima hata eka kumi nazaidi.tubadilike jamani.