Watanzania tubadilike

UGORO87

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
824
Reaction score
382
Ndugu zangu inaabidi tubadilike tuachane habari yakulima kwa mkono,imeshapitwa nawakati nikujirudisha nyuma kimaendeleo.nimepitia post nyngi sna hapa jf kuhusu kilimo nilichogundua watu bdo wanatumia manpower kwnye kulima nh kitu ambayo haifai inarudisha nyuma maendeleo.mbadala ya manpower angalau utumie ngombe kulimia,au powertiler au trector.ukiwa na maksai wako wawili unaweza kulima nusu eka kwa cku.ukiwa napowertila unaweza kulima eka4 hadi 6 kwa cku,ukiwa na trakta unaweza ukalima hata eka kumi nazaidi.tubadilike jamani.
 
kuna ukweli hapo,maeneo mengi sna tznia wanatumia jembe la mkono
 
Gharama zipo vipi?

ukiwa na lakinane au milion moja unaweza ukapata maksai wakulimia na jembe lake,ukiwa na milion5 unaweza kupata powetila kubota ya india au amec,ukiwa na milion 9 unawezaukapata powetila kubota ya thailand.tractor zinauzwa kuanzia mil30 nakuendelea napia zipo tractor used unaweza ukapata kwa mil9 nakuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…