T The EMP Bomb Senior Member Joined Oct 27, 2021 Posts 130 Reaction score 132 Feb 18, 2022 #21 Joseverest said: SIKU YA HARUSI YANGU TUNAENDA KANISANI, TUNAFUNGA NDOA TUNARUDI ZETU HOME KUENDELEA NA MAISHA YA KAWAIDA... KULA MTAKULA KWENU AU KWA MAMA NTILIE 😎[emoji23] Click to expand... Mkuu huwa nawazaga hivi, sijui ndugu na mwanamke atakubali kitambo hicho??
Joseverest said: SIKU YA HARUSI YANGU TUNAENDA KANISANI, TUNAFUNGA NDOA TUNARUDI ZETU HOME KUENDELEA NA MAISHA YA KAWAIDA... KULA MTAKULA KWENU AU KWA MAMA NTILIE 😎[emoji23] Click to expand... Mkuu huwa nawazaga hivi, sijui ndugu na mwanamke atakubali kitambo hicho??
Mathanzua JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 17,251 Reaction score 22,929 Feb 18, 2022 #22 The EMP Bomb said: Mkuu huwa nawazaga hivi, sijui ndugu na mwanamke atakubali kitambo hicho?? Click to expand... Kwa uzuzu wa watu wa leo,atakuwa na wakati mgumu sana kuwa-convince.
The EMP Bomb said: Mkuu huwa nawazaga hivi, sijui ndugu na mwanamke atakubali kitambo hicho?? Click to expand... Kwa uzuzu wa watu wa leo,atakuwa na wakati mgumu sana kuwa-convince.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 19, 2022 #23 Kawaida sana...
2day Senior Member Joined Mar 2, 2017 Posts 168 Reaction score 129 Feb 19, 2022 #24 Mm langu ni kuhusu misiba wafiwa waendae chakula cha wanaokuja kuwafariji hili mm naona ni matumizi mabaya ya pesa pia
Mm langu ni kuhusu misiba wafiwa waendae chakula cha wanaokuja kuwafariji hili mm naona ni matumizi mabaya ya pesa pia