Ukitaka kuondokana na wapigaji, ungana na sisi Wazalendo na Wapenda mabadiliko ya kweli, kuhakikisha Ccm inatoka madarakani.mpaka sasa sielewi dr. magufuli kafa kivipi? mtu aliejipambanua kutetea na kulinda mali za nchi bila kupepesa macho.
inaonekana wale wabaya wake. mimi nawaita madalali wa upigaji wanafurahia sana kutokuwepo kwake.
nchi hii ilishaibiwa sana. kongo ya felix tshisekedi inaibiwa usiku na mchana. siyo shaba, siyo dhahabu, siyo tungsten madini yote. hadi vumbi la kongo watu wanaiba.
tanzannia tuna dhahabu, tanzanite, rubi kila kitu. dr. magufuli alisimama kidete kupambana na wezi wa mali zetu sasa hayupo.
tunafanya nini kuendeleza legacy yake ya kuzilinda mali zetu? tupeane mawazo.
japokua hata mbele upigaji ni kitu cha kawaida ila ni vema tu mahakama zipewe tu uhuru wa kufanya maamuzi ya kisheria na uchunguzi uwe unakamilika kwa mda anaestahili kwenda ndan aende apishe wengine wafanye,mpaka sasa sielewi dr. magufuli kafa kivipi? mtu aliejipambanua kutetea na kulinda mali za nchi bila kupepesa macho.
inaonekana wale wabaya wake. mimi nawaita madalali wa upigaji wanafurahia sana kutokuwepo kwake.
nchi hii ilishaibiwa sana. kongo ya felix tshisekedi inaibiwa usiku na mchana. siyo shaba, siyo dhahabu, siyo tungsten madini yote. hadi vumbi la kongo watu wanaiba.
tanzannia tuna dhahabu, tanzanite, rubi kila kitu. dr. magufuli alisimama kidete kupambana na wezi wa mali zetu sasa hayupo.
tunafanya nini kuendeleza legacy yake ya kuzilinda mali zetu? tupeane mawazo.
Mataga Mataga nakuita tena Mataga,muda wenu ulishaisha tangu 17 March 2021.mpaka sasa sielewi dr. magufuli kafa kivipi? mtu aliejipambanua kutetea na kulinda mali za nchi bila kupepesa macho.
inaonekana wale wabaya wake. mimi nawaita madalali wa upigaji wanafurahia sana kutokuwepo kwake.
nchi hii ilishaibiwa sana. kongo ya felix tshisekedi inaibiwa usiku na mchana. siyo shaba, siyo dhahabu, siyo tungsten madini yote. hadi vumbi la kongo watu wanaiba.
tanzannia tuna dhahabu, tanzanite, rubi kila kitu. dr. magufuli alisimama kidete kupambana na wezi wa mali zetu sasa hayupo.
tunafanya nini kuendeleza legacy yake ya kuzilinda mali zetu? tupeane mawazo.
Mataga Mataga nakuita tena Mataga,muda wenu ulishaisha tangu 17 March 2021.
Leo ndo mnautamani uhuru wa mahakama baada ya yule fashisti kufa? Si mliamini katika yeye binafsi?japokua hata mbele upigaji ni kitu cha kawaida ila ni vema tu mahakama zipewe tu uhuru wa kufanya maamuzi ya kisheria na uchunguzi uwe unakamilika kwa mda anaestahili kwenda ndan aende apishe wengine wafanye,
Mkuu una uhakika tukikukabidhi kitengo hutapiga na wewe😌mpaka sasa sielewi dr. magufuli kafa kivipi? mtu aliejipambanua kutetea na kulinda mali za nchi bila kupepesa macho.
inaonekana wale wabaya wake. mimi nawaita madalali wa upigaji wanafurahia sana kutokuwepo kwake.
nchi hii ilishaibiwa sana. kongo ya felix tshisekedi inaibiwa usiku na mchana. siyo shaba, siyo dhahabu, siyo tungsten madini yote. hadi vumbi la kongo watu wanaiba.
tanzannia tuna dhahabu, tanzanite, rubi kila kitu. dr. magufuli alisimama kidete kupambana na wezi wa mali zetu sasa hayupo.
tunafanya nini kuendeleza legacy yake ya kuzilinda mali zetu? tupeane mawazo.
Hahahahahaha MATAGA yanatia huruma kama MANYAMA yalivyojeruhiwa na Simba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mataga Mataga nakuita tena Mataga,muda wenu ulishaisha tangu 17 March 2021.
Kifo ni wajibu kikikuita haukatai tulia Siku ukifa we we ndio utaacha maswali yako ya kizandiku kwani alizaliwa kuishi milele? Mkuu komaa kiakili basimpaka sasa sielewi dr. magufuli kafa kivipi? mtu aliejipambanua kutetea na kulinda mali za nchi bila kupepesa macho.
inaonekana wale wabaya wake. mimi nawaita madalali wa upigaji wanafurahia sana kutokuwepo kwake.
nchi hii ilishaibiwa sana. kongo ya felix tshisekedi inaibiwa usiku na mchana. siyo shaba, siyo dhahabu, siyo tungsten madini yote. hadi vumbi la kongo watu wanaiba.
tanzannia tuna dhahabu, tanzanite, rubi kila kitu. dr. magufuli alisimama kidete kupambana na wezi wa mali zetu sasa hayupo.
tunafanya nini kuendeleza legacy yake ya kuzilinda mali zetu? tupeane mawazo.
Leo ndo mnautamani uhuru wa mahakama baada ya yule fashisti kufa? Si mliamini katika yeye binafsi?
Hivi mlijua jamaa ni immortal?
The article is deep and contains a lot of facts. I mean it is a well researched article.Ukitaka kuelewa kinachoendelea jaribu kusoma hii habari hapa chini kwa kina. Soma kila kitu....
Yeye sio wa kwanza wala wa mwisho katika kulinda mali za taifa hili.mpaka sasa sielewi dr. magufuli kafa kivipi? mtu aliejipambanua kutetea na kulinda mali za nchi bila kupepesa macho.
inaonekana wale wabaya wake. mimi nawaita madalali wa upigaji wanafurahia sana kutokuwepo kwake.
nchi hii ilishaibiwa sana. kongo ya felix tshisekedi inaibiwa usiku na mchana. siyo shaba, siyo dhahabu, siyo tungsten madini yote. hadi vumbi la kongo watu wanaiba.
tanzannia tuna dhahabu, tanzanite, rubi kila kitu. dr. magufuli alisimama kidete kupambana na wezi wa mali zetu sasa hayupo.
tunafanya nini kuendeleza legacy yake ya kuzilinda mali zetu? tupeane mawazo.
Unauliza kafa kivipi kwani kuna aina ya kifo wewe ulikuwa umemuandalia? Ripoti ya madaktari imeshaekeza chanzo cha kifo sasa wewe sijui unatakaje.mpaka sasa sielewi dr. magufuli kafa kivipi? mtu aliejipambanua kutetea na kulinda mali za nchi bila kupepesa macho.