K kipisi Member Joined Nov 5, 2010 Posts 39 Reaction score 56 Nov 6, 2010 #1 Elimu ya bure, kupunguza ukubwa wa sirikali, kuangalia upya mikataba, mabadiliko ya katiba, matibabu bure , yote hayo tumeyakataa
Elimu ya bure, kupunguza ukubwa wa sirikali, kuangalia upya mikataba, mabadiliko ya katiba, matibabu bure , yote hayo tumeyakataa
kisu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 1,045 Reaction score 442 Nov 6, 2010 #2 Wafanyakazi wasahau nyongeza!!
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Nov 6, 2010 #3 Watz wamekataa mabadiliko!? Hapana, watz walishaamua mabadiliko ila ccm wamepora ndiyo maana tunataka kufanya maandamano jumamosi
Watz wamekataa mabadiliko!? Hapana, watz walishaamua mabadiliko ila ccm wamepora ndiyo maana tunataka kufanya maandamano jumamosi
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,973 Reaction score 9,572 Nov 6, 2010 #4 Sukari bei itakuwa sh. 3,500