Elections 2010 Watanzania tufunge mikanda kwa miaka 5 ijayo

kipisi

Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
39
Reaction score
56
Elimu ya bure, kupunguza ukubwa wa sirikali, kuangalia upya mikataba, mabadiliko ya katiba, matibabu bure , yote hayo tumeyakataa
 
Wafanyakazi wasahau nyongeza!!
 
Watz wamekataa mabadiliko!? Hapana, watz walishaamua mabadiliko ila ccm wamepora ndiyo maana tunataka kufanya maandamano jumamosi
 
Sukari bei itakuwa sh. 3,500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…