Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Hakuna ataebaki salama.Hilo liko wazi mkuu.
Kuna watu wanashangilia sana ila wote tutapata tabu na shida haitachagua mtu.
Watumishi wa umma mjipange, hususan walimu, askari na kada zingine ambazo hazina maslahi nje ya mshahara nawambia mjipange lijalo litawafurahisha sana.
Graduates ambao mmejiingiza kwenye siasa hamna connection yoyote aisee mjipange itafika hatua hata ugali hamtaweza kununua, mtahama mjini mrudi vijijini kwenu.
Wasanii mliounga mkono juhudi mjipange, mnaishi kwa kutegemea kuimba na show za hapa na pale, mjipange nawambia [emoji23][emoji23]
Huu ujinga una mwisho wake tuendeleni kuishi tu, watu wanashangilia huku wanaujua ukweliHilo liko wazi mkuu.
Kuna watu wanashangilia sana ila wote tutapata tabu na shida haitachagua mtu.
Watumishi wa umma mjipange, hususan walimu, askari na kada zingine ambazo hazina maslahi nje ya mshahara nawambia mjipange lijalo litawafurahisha sana.
Graduates ambao mmejiingiza kwenye siasa hamna connection yoyote aisee mjipange itafika hatua hata ugali hamtaweza kununua, mtahama mjini mrudi vijijini kwenu.
Wasanii mliounga mkono juhudi mjipange, mnaishi kwa kutegemea kuimba na show za hapa na pale, mjipange nawambia [emoji23][emoji23]
CHADEMA kukosa ruzuku hakutaathiri wananchi.Chadema itakuwa na hali ngumu kwa sababu haitakuwa na ruzuku!
Inabidi Ife kabisa ili wote tuonje Radha ya chama kimojaChadema itakuwa na hali ngumu kwa sababu haitakuwa na ruzuku!
Tuombe uzima tu.Porojo hizooo..wananchi msitishike kabisa mambo tutaenda vizuri kabisa tumemchagua Rais Magufuli tupo katika mikono sahihi.
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Bwashee bila shaka mmeingia kwenye shimo wenyeweChadema itakuwa na hali ngumu kwa sababu haitakuwa na ruzuku!
Yaani mjipange kweli kweli.Kabila langu ni nuksi kwa mzee Baba sijui sura tutaiweka wapi sisi.....
Wazee wa nyama za kuchoma na mbege, salamu kwetu
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app