Watanzania tujenge utaratibu wa kufuatilia taarifa zinazuhusu nchi yetu.

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
Ndugu wana JF yapo mambo mengi yanayotokea nchini kwetu, moja ya jambo ambalo watanzania tunatakiwa kufuatilia habari zake kwa umakini mkubwa ni lile linalohusu katiba Inayopendekezwa. Tunahitaji kufuatilia, kujifunza na kuchukua tahadhari kwa taarifa za kupotosha zinazoweza kutuchanganya!Tujenge utamaduni wa kupata taarifa kutoka vyanzo sahihi!

Nawasilisha,
 
Sawa sawa kabisa hilo ni suala muhimu. :alien:
 
Ndugu wana JF yapo mambo mengi yanayotokea nchini kwetu, moja ya jambo ambalo watanzania tunatakiwa kufuatilia habari zake kwa umakini mkubwa ni lile linalohusu katiba Inayopendekezwa. Tunahitaji kufuatilia, kujifunza na kuchukua tahadhari kwa taarifa za kupotosha zinazoweza kutuchanganya!Tujenge utamaduni wa kupata taarifa kutoka vyanzo sahihi!

Nawasilisha,
Nimekuwa nikitofautiana na wewe lakini kwa hili nakukubali. Ni kwee e eeli kabisa vitu yenye tija kwa Taifa Watanzania walio wengi hawavifuatilii. Juzi nilikuwa sehemu naangalia mjadala wa bunge, kijana mmoja msomi wa chuo kikuu akauliza Bunge la kata ndo hilo linaendelea. Sasa huyo ndo msomi je akina ukwaju na ubuyu si ndo watasema chama. Tawala nchini petu ni TANU au RPF! Wambie wafuatilie mambom na kitchen party na vigodoro. Someni Katiba IT nayopendekezwa.
 
Ndugu wana JF yapo mambo mengi yanayotokea nchini kwetu, moja ya jambo ambalo watanzania tunatakiwa kufuatilia habari zake kwa umakini mkubwa ni lile linalohusu katiba Inayopendekezwa. Tunahitaji kufuatilia, kujifunza na kuchukua tahadhari kwa taarifa za kupotosha zinazoweza kutuchanganya!Tujenge utamaduni wa kupata taarifa kutoka vyanzo sahihi!

Nawasilisha,

Wise saying
 
tunapiga kura ya maoni lini vileee??? nimesahau hebu nijuze we mtoto
 
toon.jpg
 
We babu acha kuzeeka vibaya mara hii umesahau Tume imetoa taarifa ya kuextand zoezi la upigaji kura mpaka itakapotangaza wito wangu bado ni valid endelea kuwa makini fiatilia usisubiri kuambiwa na Tetty!!!
 
I can't reason with stupidity, You are a menace to society

Huyu Tyta ni anatabia kama za Ngiri haoni mbali, yupo zero grazing thats why hanisumbui anacopy katuni google, akichoka anaongea kiingereza akichoka kiswahili ili apate ahueni ya maumivu, tulia wewe lazima ule ya moto ulizoea kupambana na vilaza!!!
 
Ni muhimu kufuatlia kwa umakini swala la katiba inayopendekezwa,ni yetu watanzania ,tuisome na kuielewa
 
Sijaona kosa la Tyta hapo unless kama mnatofauti zenu kitambo. Picha aloweka inajieleza vizuri tuu, halafu tusitumie lugha za matusi kulazimisha misimamo yetu iendane.
 
Last edited by a moderator:
Sijaona kosa la Tyta hapo unless kama mnatofauti zenu kitambo. Picha aloweka inajieleza vizuri tuu, halafu tusitumie lugha za matusi kulazimisha misimamo yetu iendane.

Wewe humjui Tyta vizuri, huyo jamaa ana matuc sana humu ndani lakini hata hoja hajui kuweka na kujibu. Akishindwa kujibu yeye anakimbilia Google kutafuta picha ambayo wala haiendani na mada husika kisha anakuwa anapost anapost tena bila captions walau.
 
Huyu Tyta ni anatabia kama za Ngiri haoni mbali, yupo zero grazing thats why hanisumbui anacopy katuni google, akichoka anaongea kiingereza akichoka kiswahili ili apate ahueni ya maumivu, tulia wewe lazima ule ya moto ulizoea kupambana na vilaza!!!

teh teh....I'm surprised you can type at all when you're heart is so full of hate.
toon.jpg
 
Wewe humjui Tyta vizuri, huyo jamaa ana matuc sana humu ndani lakini hata hoja hajui kuweka na kujibu. Akishindwa kujibu yeye anakimbilia Google kutafuta picha ambayo wala haiendani na mada husika kisha anakuwa anapost anapost tena bila captions walau.

your comment seem to prove you are on crack...
profilepic44327_13.gif
 
Sijaona kosa la Tyta hapo unless kama mnatofauti zenu kitambo. Picha aloweka inajieleza vizuri tuu, halafu tusitumie lugha za matusi kulazimisha misimamo yetu iendane.

kipimo cha busara utafahamu hata kwa ujibuji wao...heheh..eti wanajiita wanaelimisha jamii kuhusu kitabu cha chenge...vijana bado wageni na wamepanick..hawafahamu kudeal na purukushani za mtandaoni....
 
I can't reason with stupidity, You are a menace to society
You Mwakaboko why can't you take your time and increase your vocabulary and reduce if not delete all insane words. Mitusi mitusi mtu mzima haifai. Hapa unajulikana kama senior expert je wa matusi au wa hoja kama wa matusi wewe umevuka usenior bali wewe sasa ni principal matusi expert. Usiku mwema
 
Back
Top Bottom