Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Ndugu wana JF yapo mambo mengi yanayotokea nchini kwetu, moja ya jambo ambalo watanzania tunatakiwa kufuatilia habari zake kwa umakini mkubwa ni lile linalohusu katiba Inayopendekezwa. Tunahitaji kufuatilia, kujifunza na kuchukua tahadhari kwa taarifa za kupotosha zinazoweza kutuchanganya!Tujenge utamaduni wa kupata taarifa kutoka vyanzo sahihi!
Nawasilisha,
Nimekuwa nikitofautiana na wewe lakini kwa hili nakukubali. Ni kwee e eeli kabisa vitu yenye tija kwa Taifa Watanzania walio wengi hawavifuatilii. Juzi nilikuwa sehemu naangalia mjadala wa bunge, kijana mmoja msomi wa chuo kikuu akauliza Bunge la kata ndo hilo linaendelea. Sasa huyo ndo msomi je akina ukwaju na ubuyu si ndo watasema chama. Tawala nchini petu ni TANU au RPF! Wambie wafuatilie mambom na kitchen party na vigodoro. Someni Katiba IT nayopendekezwa.Ndugu wana JF yapo mambo mengi yanayotokea nchini kwetu, moja ya jambo ambalo watanzania tunatakiwa kufuatilia habari zake kwa umakini mkubwa ni lile linalohusu katiba Inayopendekezwa. Tunahitaji kufuatilia, kujifunza na kuchukua tahadhari kwa taarifa za kupotosha zinazoweza kutuchanganya!Tujenge utamaduni wa kupata taarifa kutoka vyanzo sahihi!
Nawasilisha,
Ndugu wana JF yapo mambo mengi yanayotokea nchini kwetu, moja ya jambo ambalo watanzania tunatakiwa kufuatilia habari zake kwa umakini mkubwa ni lile linalohusu katiba Inayopendekezwa. Tunahitaji kufuatilia, kujifunza na kuchukua tahadhari kwa taarifa za kupotosha zinazoweza kutuchanganya!Tujenge utamaduni wa kupata taarifa kutoka vyanzo sahihi!
Nawasilisha,
Ndugu wana JF yapo mambo mengi yanayotokea nchini kwetu, moja ya jambo ambalo watanzania tunatakiwa kufuatilia habari zake kwa umakini mkubwa ni lile linalohusu katiba Inayopendekezwa. Tunahitaji kufuatilia, kujifunza na kuchukua tahadhari kwa taarifa za kupotosha zinazoweza kutuchanganya!Tujenge utamaduni wa kupata taarifa kutoka vyanzo sahihi!
Nawasilisha,
tunapiga kura ya maoni lini vileee??? nimesahau hebu nijuze we mtoto
Kila kwenye post unatapatapa kama kuku alinyeshewa mvua, ondoa huo uchafu wako humu ndani.
I can't reason with stupidity, You are a menace to society
Sijaona kosa la Tyta hapo unless kama mnatofauti zenu kitambo. Picha aloweka inajieleza vizuri tuu, halafu tusitumie lugha za matusi kulazimisha misimamo yetu iendane.
Basi mkuu hatupaswi kujibu kwa matusi namna hiyo. Vitu vingine waweza potezea tuu siku ikasonga mkuu Ebola Hatari
Huyu Tyta ni anatabia kama za Ngiri haoni mbali, yupo zero grazing thats why hanisumbui anacopy katuni google, akichoka anaongea kiingereza akichoka kiswahili ili apate ahueni ya maumivu, tulia wewe lazima ule ya moto ulizoea kupambana na vilaza!!!
Wewe humjui Tyta vizuri, huyo jamaa ana matuc sana humu ndani lakini hata hoja hajui kuweka na kujibu. Akishindwa kujibu yeye anakimbilia Google kutafuta picha ambayo wala haiendani na mada husika kisha anakuwa anapost anapost tena bila captions walau.
Sijaona kosa la Tyta hapo unless kama mnatofauti zenu kitambo. Picha aloweka inajieleza vizuri tuu, halafu tusitumie lugha za matusi kulazimisha misimamo yetu iendane.
......Ni muhimu kufuatlia kwa umakini swala la katiba inayopendekezwa,ni yetu watanzania ,tuisome na kuielewa
You Mwakaboko why can't you take your time and increase your vocabulary and reduce if not delete all insane words. Mitusi mitusi mtu mzima haifai. Hapa unajulikana kama senior expert je wa matusi au wa hoja kama wa matusi wewe umevuka usenior bali wewe sasa ni principal matusi expert. Usiku mwemaI can't reason with stupidity, You are a menace to society