Watanzania tuchangamkie fursa.
Malawi na Zambia zimeruhusu toka mwaka juzi na mwaka jana, kilimo cha bangi Kwa matumizi ya viwandani.
Bangi hiyo unalima Kwa kupewa kibali maalumu na serikali, unapewa eneo, unatengeneza miundomsingi ya maji, unajenga greenhouse maana ile haitakiwi kupigwa na jua, na maji ya mvua wala vumbi.
Unahudumia vizuri na kuvuna mavuno bora ambayo kila kilo moja ni zaidi hata ya dhahabu. Kuliko kulialia hakikisheni tunachangamkia fursa hiyo haraka sana tusibaki nyuma.