Lilikuwa likipambana na polisi tukalishinda...Nikilima hapa nikasema ni oder ya wateja nje ya nchi....kuna shida.
Hivi inachukua muda gani hadi kuvuna
SureWatanzania tuchangamkie fursa
Malawi na Zambia zimeruhusu toka mwaka juzi na mwaka jana, kilimo cha bangi Kwa matumizi ya viwandani,
Bangi hiyo unalima Kwa kupewa kibali maalumu na serikali, unapewa eneo, unatengeneza miundomsingi ya maji, unajenga greenhouse maana ile haitakiwi kupigwa na jua, na maji ya mvua wala vumbi,
Unahudumia vizuri na kuvuna mavuno bora ambayo kila kilo moja ni zaidi hata ya dhahabu,
Kuliko kulialia hakikisheni tunachangamkia fursa hiyo haraka sana tusibaki nyuma,
Watatumia mazao yanguHaina shida we anza kabisa kulima, ukishavuna nenda polisi watakupa kibali..
Hebu weka muhtasariHii Thread imenifanya niikumbuke series ya NARCOS Mexico
Hakika wale wahuni waliweza
Mpuuzi wewe !πππLilikuwa likipambana na polisi tukalishinda...