Watanzania tulidanganywa sana na Utawala wa Awamu ya Tano

Raisi kupandishwa school bus ilikuwa awamu ya tano pia.

Nilataka kusahau.
 
Weka Video ya hayo maneno tusikilize wote
 
Jiwe alikuwa msanii tu
 
Awamu ya sita Wizi umetamalaki.
 

Kwa wakati ule gem ilitakiwa kuchezwa vile,

Tuna miaka mingapi hata kivuko cha ubungo hakuna? Tuna miaka mingapi shida za umeme kila siku?

Wakati wa magu vyote viliiisha
 
Awamu ya 4 tulifunga loliondo kwenye kikombe
 


Sisi wengine tulikuwa tumeshafahamu kuwa hao WATU walikuwa ni WAONGO na walikuwa ni WATU hatari sana kwa upande wa SEKTA BINAFSI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…