Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Inasemekana, mh Rais Mstaafu Mzee wetu wa heshima Ali Hassan Mwinyi, alienda ziara Warabuni, akakutana na hawa ndege aina ya kunguru.
Aliwawapenda Kwa sabb ya uwezo wao wa kusafisha mazingira, ikabidi aje na mbegu hapa bongo!
Sasa hawa ndege wamekuwa kero kiasi cha kuuluza tena kwamba, Tulimkosea nini huyu mzee wetu kwenda kuazima kisicho na manufaa kwetu?
Hawa viumbe wamekuwa wezi, wasababisha njaa, wanakula mazao yangali shamba, hata ukivuna watakuibia
Ni ndege waharibifu na hawafai
Serikali Ione namna ya kuwapunguza na ama kuwasngamiza, wanatishia hali ya mazao, na ikizingatiwa mvua haipo!