Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Hizo ni stori za vijueni, kunguru wa mekaa hapa hata kabla raisi mwinyi haja zaliwaInasemekana, mh Rais mstaafu mzee wetu wa heshima Alihasan Mwinyi, alienda ziara Warabuni, akakutana na hawa ndege aina ya kunguru,
Aliwawapenda Kwa sabb ya uwezo wao wa kusafisha mazingira, ikabidi aje na mbegu hapa bongo!
Sasa hawa ndege wamekuwa kero kiasi cha kuuluza tena kwamba, Tulimkosea nini huyu mzee wetu kwenda kuazima kisicho na manufaa kwetu?
Hawa viumbe wamekuwa wezi, wasababisha njaa, wanakula mazao yangali shamba, hata ukivuna watakuibia
Ni ndege waharibifu na hawafai
Serikali Ione namna ya kuwapunguza na ama kuwasngamiza, wanatishia hali ya mazao, na ikizingatiwa mvua haipo!
Basi serikali ifanye mpango wa kuwaangamiza hawa viumbeHizo ni stori za vijueni, kunguru wa mekaa hapa hata kabla raisi mwinyi haja zaliwa
Ni kweli kunguru waliletwa kwetu na waarabu na hao ndege wana akili sana. Waliletwa kwaajili ya usafi maana walitumika huko Oman Sultanate kwaajili hiyo, wamekuwa walivyo kwasababu hakukuwa na mkakati wa kuwa controlHizo ni stori za vijueni, kunguru wa mekaa hapa hata kabla raisi mwinyi haja zaliwa
Sio mazao tu wanakula na vifaranga vya ndege, kuku, Bata..etc..Inasemekana, mh Rais mstaafu mzee wetu wa heshima Alihasan Mwinyi, alienda ziara Warabuni, akakutana na hawa ndege aina ya kunguru,
Aliwawapenda Kwa sabb ya uwezo wao wa kusafisha mazingira, ikabidi aje na mbegu hapa bongo!
Sasa hawa ndege wamekuwa kero kiasi cha kuuluza tena kwamba, Tulimkosea nini huyu mzee wetu kwenda kuazima kisicho na manufaa kwetu?
Hawa viumbe wamekuwa wezi, wasababisha njaa, wanakula mazao yangali shamba, hata ukivuna watakuibia
Ni ndege waharibifu na hawafai
Serikali Ione namna ya kuwapunguza na ama kuwasngamiza, wanatishia hali ya mazao, na ikizingatiwa mvua haipo!
Uongo hao kunguru ni wa kutoka IndiaNi kweli kunguru waliletwa kwetu na waarabu na hao ndege wana akili sana. Waliletwa kwaajili ya usafi maana walitumika huko Oman Sultanate kwaajili hiyo, wamekuwa walivyo kwasababu hakukuwa na mkakati wa kuwa control
Kwani huoni kama story ya kunguru na ya kwako vinafanana?Inasemekana, mh Rais mstaafu mzee wetu wa heshima Alihasan Mwinyi, alienda ziara Warabuni, akakutana na hawa ndege aina ya kunguru,
Aliwawapenda Kwa sabb ya uwezo wao wa kusafisha mazingira, ikabidi aje na mbegu hapa bongo!
Sasa hawa ndege wamekuwa kero kiasi cha kuuluza tena kwamba, Tulimkosea nini huyu mzee wetu kwenda kuazima kisicho na manufaa kwetu?
Hawa viumbe wamekuwa wezi, wasababisha njaa, wanakula mazao yangali shamba, hata ukivuna watakuibia
Ni ndege waharibifu na hawafai
Serikali Ione namna ya kuwapunguza na ama kuwasngamiza, wanatishia hali ya mazao, na ikizingatiwa mvua haipo!
Inawezekana ni story za kweli.Hizo ni stori za vijueni, kunguru wa mekaa hapa hata kabla raisi mwinyi haja zaliwa