Watanzania tumejifunza nini kupigwa Risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump?

Akili inakataa kuwa risasi zipigwe na imjeruhi sikio tu mgombea uraisi ilhali watu waliyomzunguka hakuna aliyejeruhiwa?
Hii inaweza kuwa Hollywood in action.
Kuna movie linataka litolewe starring Trump. Hao hawana Royal Tour.
 
Takataka kabisa......jeshi la polisi la Tanganyika ni upuuzi mtupu acha kujitoa ufahamu.
 
Ingependeza pia ungepongeza serikali sikivu na tulivu ya mama suluhu hasani Kwa kuzuia jaribio hilo huko marekani pia ungeweka namba ya simu
 
Tulichojifunza watanzania ni kuwa tuchukue hatua Kali dhidi ya Wala rushwa kama Hawa viongozi wa ccm wakiongozwa na mwenyekiti wao.Tusisubiri huruma zao maana mafisadi kama haya ya awamu ya sita Huwa hayana huruma hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…