Watanzania tumejifunza nini kutokana na tulichofanyiwa na makampuni haya?

Watanzania tumejifunza nini kutokana na tulichofanyiwa na makampuni haya?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Namaingo

Kijani Kibichi
Deci
Mr. Kuku
Kalynda eCommerce
 
Wengi wanapenda kupata mali kwa muda mfupi bila kufanya kazi

Tegemea kusikia tena wamepigwa kwa namna nyingine.

Watz wagumu sana kuelewa
 
Wengi wanapenda kupata mali kwa muda mfupi bila kufanya kazi

Tegemea kusikia tena wamepigwa kwa namna nyingine.

Watz wagumu sana kuelewa
Maisha hayana njia ya mkato. Ukiipata njia ya mkato ina gharama kubwa sana, huenda ukadhalilika, ukaumia moyo, ukakumbwa na maradhi au ukaishia jela
 
Wazee wa hela za kudownload wamepatikana
 
Namaingo

Kijani Kibichi
Deci
Mr. Kuku
Kalynda eCommerce
Hakuna cha kujifunza kwani kila leo nyumbu wanazaliwa!!na wakiwa wameshapagawa na maneno matamu toka kwa hao jamaa,ukimpa angalizo tu,mnakosana anakuona weee ni mpinga maendeleo yake,una chuki binafsi .Leo hii eti anaanza kulia kumuomba Rais aingilie kati,yaani aache kuwaza kuwapatia maji na umeme maeneo ya vijijini,aje kwenu wajinga.
 
Wakijichanganya wazibuliwe tu hakuna namna. Wajinga hawaishi
 
Hakuna cha kujifunza kwani kila leo nyumbu wanazaliwa!!na wakiwa wameshapagawa na maneno matamu toka kwa hao jamaa,ukimpa angalizo tu,mnakosana anakuona weee ni mpinga maendeleo yake,una chuki binafsi .Leo hii eti anaanza kulia kumuomba Rais aingilie kati,yaani aache kuwaza kuwapatia maji na umeme maeneo ya vijijini,aje kwenu wajinga.
Wazazi wenzangu hivi inakuwaje tunazaa mitoto mipoyoyo kiasi hiki? Kuna kabila wana usemi wao, "MASALA KULANGWA" wakimaanisha akili kufundishwa. Je tunawafundisha watoto wetu kufikiria ipasavyo?
Fikra sahihi huja kwa lugha sahihi
 
Treni na mabasi yanamwaga wajinga kila siku kuingia ktk majiji ya Tanzania
 
Back
Top Bottom