Umekubali na familiya yako sio watanzaniaRais Samia Suluhu Kafanikiwa sana kuiteka 2025, ni uhakika kuwa ndani ya CHADEMA hakujawa na dhamira ya kweli ya kuishika dola kwa wakati huo, waendelee kujipanga baada ya mama labda wajaribu.
Jana Rais Samia Suluhu alisema "Siasa ni mchezo wa fikra na mawazo, kulumbana kwa hoja [..] tukiwa na lengo kushika dola. Kwa sura ninazoziona hapa hamna dhamira ya kushika dola 2025. Mnajua mama yupo dhamira hiyo haipo."
Kama Rais Samia Suluhu alivyosema kwamba siasa ni mchezo na ni kweli siasa ni mchezo na tunaona jinsi alivyocheza kitendo cha kukubali kuwa mgeni rasmi kwa upinzani kajichotea point za kutosha kweli Rais Samia Suluhu ana sifa zote za kuwa kiongozi bora maana kiongozi bora ni yule anaewaunganisha wananchi wake na sio kuwatawanya.
Hongera sana Mama tuko na wewe hadi 2030.
Wewe ndio umekubali sio watanzania. Ajitahidi amalize urithi wake kwa amani. 2025 tunaenda kuweka mwanamapinduzi mpya kupitia chama cha mapinduzi. Tunahitaji mwanapinduzi mtu mwenye maono baada ya jpm kuongoza nchi yetu.Rais Samia Suluhu Kafanikiwa sana kuiteka 2025, ni uhakika kuwa ndani ya CHADEMA hakujawa na dhamira ya kweli ya kuishika dola kwa wakati huo, waendelee kujipanga baada ya mama labda wajaribu.
Jana Rais Samia Suluhu alisema "Siasa ni mchezo wa fikra na mawazo, kulumbana kwa hoja [..] tukiwa na lengo kushika dola. Kwa sura ninazoziona hapa hamna dhamira ya kushika dola 2025. Mnajua mama yupo dhamira hiyo haipo."
Kama Rais Samia Suluhu alivyosema kwamba siasa ni mchezo na ni kweli siasa ni mchezo na tunaona jinsi alivyocheza kitendo cha kukubali kuwa mgeni rasmi kwa upinzani kajichotea point za kutosha kweli Rais Samia Suluhu ana sifa zote za kuwa kiongozi bora maana kiongozi bora ni yule anaewaunganisha wananchi wake na sio kuwatawanya.
Hongera sana Mama tuko na wewe hadi 2030.
Mimi naona 2025 tuunge tu. Pesa itumike kusambaza umeme vijijini na kwenye miradi ya maji, badala ya kufanya uchaguzi ambao matokeo yake tunayajua.Rais Samia Suluhu Kafanikiwa sana kuiteka 2025, ni uhakika kuwa ndani ya CHADEMA hakujawa na dhamira ya kweli ya kuishika dola kwa wakati huo, waendelee kujipanga baada ya mama labda wajaribu.
Jana Rais Samia Suluhu alisema "Siasa ni mchezo wa fikra na mawazo, kulumbana kwa hoja [..] tukiwa na lengo kushika dola. Kwa sura ninazoziona hapa hamna dhamira ya kushika dola 2025. Mnajua mama yupo dhamira hiyo haipo."
Kama Rais Samia Suluhu alivyosema kwamba siasa ni mchezo na ni kweli siasa ni mchezo na tunaona jinsi alivyocheza kitendo cha kukubali kuwa mgeni rasmi kwa upinzani kajichotea point za kutosha kweli Rais Samia Suluhu ana sifa zote za kuwa kiongozi bora maana kiongozi bora ni yule anaewaunganisha wananchi wake na sio kuwatawanya.
Hongera sana Mama tuko na wewe hadi 2030.
Bila ya khofu ya kuuwawa kinyama na mwili kutiwa kwenye viroba vya kilo hamsiniRais Samia Suluhu alisema "Siasa ni mchezo wa fikra na mawazo, kulumbana kwa hoja
Asilimia kubwa ya watanzania tumekubali tumeona mama anaongoza kwa akili kubwa sanaUmekubali na familiya yako sio watanzania
Akipata kura halali sio shida hata miaka 100 akae, ila za kuiba atasemezana na Mungu vilivyo na kamwe kiti kitakua cha moto
Tutafata katiba ya nchi itakavyosema hata kama katiba ikisema akae milele kama museveni ni sawa maana anaupiga anafanya mambo yote watanzania tunayotamani kusikiaIkifika 2030 "mitano tena" ? 😀 😀 😀
Hujamsikia Mama jana alisema sio Chadema tu inahitaji katiba mpya hata CCM pia wanahitaji katiba moya kwaiyo ataunda kamati kwa ajili ya kuanza mchakato huoWazo la katiba mpya nalo vp chief?????
Utasubiri sana mzee Rais Samia Suluhu amekubalika sana kuliko kawaida kwaiyo tuko nae hadi 2030Wewe ndio umekubali sio watanzania. Ajitahidi amalize urithi wake kwa amani. 2025 tunaenda kuweka mwanamapinduzi mpya kupitia chama cha mapinduzi. Tunahitaji mwanapinduzi mtu mwenye maono baada ya jpm kuongoza nchi yetu.
Mama anafuata sheria na katiba ya nchi kwaiyo atakaa muda ambao katiba inasema lakini 2025 atapita kwa kishindoMama ni wa milele sasa
Kila goti litapigwa kwa huyu mamaMama anafuata sheria na katiba ya nchi kwaiyo atakaa muda ambao katiba inasema lakini 2025 atapita kwa kishindo
Kabisa siasa za awamu hii ya sita zinavutia sana tumshuru Mungu kwa hilo tunawaona akina Lema na hoja zao za kipuuzi lakini hawana wasiwasi kwasababu wamepewa uhuru wa kuongeaBila ya khofu ya kuuwawa kinyama na mwili kutiwa kwenye viroba vya kilo hamsini
INSHALLAHKila goti litapigwa kwa huyu mama
Jana nilikula CCM Mkoa Moshi aisee wachaga sasa wanamkubali sana mamaINSHALLAH
una akili sana lakini lazima tufuate sheria na katiba ya nchi ili ndugu zetu wasianze kulalamika na kulialia kama kawaida yaoMimi naona 2025 tuunge tu. Pesa itumike kusambaza umeme vijijini na kwenye miradi ya maji, badala ya kufanya uchaguzi ambao matokeo yake tunayajua.