Watanzania tumeletewa Nabii Lovy tutoke nje ya reli

Watanzania tumeletewa Nabii Lovy tutoke nje ya reli

Kakumamoto

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2015
Posts
1,237
Reaction score
1,696
Watamzani tunapotezwa kirahisi Sana. Tumeletewa Prophet kutoka sijui wapi huko na tumeanza kuaminishana ni mtamzania! Alikua mwanamuziki ila kakutana na Yesu (Yesu ni uongo), kajaza uanja na watu wametolewa mapepo!?!?! Kuna kipi kipya!?! Watanzania ni wajinga sana.

Tumesahau kuhusu Vice President, tumesahau ya Hanang! Kisa Nabii wa uongo!?! Huyo nabii kafanya kipi kipya?

Kaumba binaadamu? Kafufua mfu, kuna kiwete kapona? Mambo ya kipumbafu kabisa yanatutoa wabongo kwenye reli
 
Ni wivu tu. Nabii Lovy kakuzidi kila kitu
 
Anatetea transgenders

View: https://youtu.be/T4sb0mxQjsI?si=ybpIjyAgmAj5A4Ai

1702131007453.png
 
Ni wivu tu. Nabii Lovy kakuzidi kila kitu
yeah Mpaka Ujinga Nahc Huyo Nabii Yuko Na Ujinga Mwingi Kuliko Mtoa Mada.Manabii Wenu Wanachati Mpaka Na Yesu Wanaona Status Za Malaika Na Watu Wanajaa Kanisani Wanaamini Kabisa Daah!Ila Hii Dini Ya Paulo Shida Ni Nini Elimu Au Iman Ni Kubwa Kiasi Cha Kuamini Kinywa Chochote Kilichokariri Maneno Mawili Matatu Ya Bible
 
Nilidhani uchawa ni kwa CCM kumbe Hadi kwa manabii uchwara wenye namba ya Whatsapp ya Yesu Kristo. Tupunguze uchawa watanzania.
 
Back
Top Bottom