Watanzania tumeona nuru

Watanzania tumeona nuru

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Asilimia kubwa ya Watanzania tumefurahi baada ya kuona Rais Samia Suluhu anasimamia haki kwa Watanzania wote amesema Uwepo wa amani nchini ni chachu ya maendeleo ya kijamii, kisiasa.

Mara nyinyi panatokea uvunjifu wa amani, ni kwamba haki imepotezwa, na haki ikipotezwa na amani inakuwa haipo.

Hakika milango ya haki imefunguka Tanzania maana Rais Samia Suluhu amesema kuwa kuna baadhi ya wananchi wasio jua haki zao hivyo ni lazima kuwasaidia kutafuta haki zao.

Haya mambo ya haki tulisahau kabisa Rais Samia Suluhu anavunja record ya kuwa msimamia haki namba moja toka Tanzania ipate uhuru.
 
Walioko madarakani bado wana safari ya miaka 8. Ngoma bado mbichi. Wasijisahau wala kulewa madaraka/ sifa... wapambane!
 
Back
Top Bottom