im sorry to say this,
watz ni watu wa ajabu,watu wako tayari kuandamana kupinga mchora vikatuni huko sweden kisa kamchora Mtume,lakini hawawezi kuandamana kupinga wanaowatia umaskini!
Utasikia watu wanaandamana kupinga Israel kushambulia Palestina lakini hawawezi kuandamana kudai maslahi yao ya msingi apart from dini!
Tukiwa na ujasiri wa kutetea maslahi ya kitaifa kama tunavyotetea dini zetu hakika serikali itatusikiliza.
fighting corruption is a messy thing. i dont know what east africa will be left with if tanzania starts the political bickerings like kenya or uganda. i think east africa needs tanzania to stay calm. it is the EAC's oasis of political sanity.
Hapa naona umechanganya madawa na kuwagawa waTz. Ni nani hao waliondamana kwa vikatuni au vita vya palestina?Na akina nani hawajaandamana? Maandamano hayo yanahusiana vipi na kuandamana kupinga ufisadi ambao unawahusu waTz wote?
¬K
Ya nini kuandamana wakati wako mahakamani
Magezi,Wakuu mimi imeniumiza sana kuona wakenya wameamua kuonyesha hasira zao na kuandamana kuchagiza mawaziri mafisadi watimuliwe. Sisi ni maneno tu wananharakati wetu wanansheria mnafanya nini? Sheria mlisomea za nini kama haziwezi kutusaidia sisi ambao jatujui sheria kuu zikoje??
Naomba wakuu wanaJF tuamke jamani na hasa wanasheria na wanaharakati wengine yaitishwe maandamano ya kuitaka serikali ivunje mikataba yote mibovu na kuwafukuza mawaziri wote wanaoendelea kuliingiza taifa hili ktk hasara kila siku kama kawambwa na wengine.
Wakuu mimi imeniumiza sana kuona wakenya wameamua kuonyesha hasira zao na kuandamana kuchagiza mawaziri mafisadi watimuliwe. Sisi ni maneno tu wananharakati wetu wanansheria mnafanya nini? Sheria mlisomea za nini kama haziwezi kutusaidia sisi ambao jatujui sheria kuu zikoje??
Naomba wakuu wanaJF tuamke jamani na hasa wanasheria na wanaharakati wengine yaitishwe maandamano ya kuitaka serikali ivunje mikataba yote mibovu na kuwafukuza mawaziri wote wanaoendelea kuliingiza taifa hili ktk hasara kila siku kama kawambwa na wengine.
Watanzania sisi waoga sana.Tunaogopa mabomu ya machozi.
Ya nini kuandamana wakati wako mahakamani
Watanzania waliandamana. Lakini yalikuwa ni maandamano makubwa ya kuwapokea akina Chenge na Lowasa kama mashujaa. Na viongozi mbali mbali walihudhuria.
Yaani kuna kutoelewa ufisadi kiasi ambacho ufisadi unakubalika. Tofauti ya Elimu kati ya Kenya na Tanzania inajitokeza kwenye mambo mbali mbali.
Isitoshe, wanafunzi wa UDSM ndio walikuwa wanapigania haki za wananchi zamani. Sasa hata wao wanaelekea kujali posho zao tu. Ni wanafunzi wa vyuo vikuu Kenya ndio wamekuwa chachu ya mapambano ya kuleta katiba mpya na kupinga ufisadi.
I wonder why you guys are not mentioning failures of these Chadema, Cuf-bara, NCCR , TLP etc you are the very same guys without shame embracing this opposition parties that have proved the mission of extending NGOs.
We are paying them cammon!!!!!!!! ruzuku is our money, yet they do nothing ask Slaa if he is capable of initiating any strike and sleep Segerea at least for one day!
Nashangaa humu ndani mpaka mnatoana macho ati chama mbadala!!! bila aibu
vile ni vijiwe vya kuwapa watu ajira, kesho I can do the very same thing nikaanzisha chama na yet nikapata fedha zenu!!
EL and Chenge are better than opposition parties that are creating delusions and false hopes for something that will never ever happen!